PM atengwa mbunge apokelewa kwa shamra. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PM atengwa mbunge apokelewa kwa shamra.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eraldius, Sep 16, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ni katika mkutano wa Pm katika viwanja vya Magomeni Mwanza.Mbunge amepokewa kwa shangwe kwa upande wa pm kukiwa kumepooza
   
 2. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,481
  Likes Received: 2,144
  Trophy Points: 280
  PM anajua CCM inanuka. Wala hatashangaa hilo
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Unafungua thread huku umechoka halafu na wewe unajiita Great thinker
  Hutuambii mbunge yupi hapo Mwanza kuna wawili
  hutwambii PM alionekanaje baada ya tukio hilo
  Mkutano uliendeleaje baada ya wananchi kumpa cold shoulder PM aliongelea nini
  siku nyingine kama huna cha kutuambia kaa na taarifa yako
   
 4. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Huyo ni great sinker na si great thinker kama ulivyomwita
   
 5. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Heri mimi sijaichangia hiyo thread kwani naona imekaa kama imetokea choo cha kike!
   
Loading...