Kikao cha wana jimbo la Iramba magharibi

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya maendeleo ya jimbo letu. Kikao hiki sio cha kichama karibuni sana
 
Magulu Mchumba bana ana njia nyingi sana za kutafuta videm vya kwao! Magumegume ya hapa mjini keshayashtukia yanavyomchuna bila huruma. Bora kashtuka mapema kabla hajaishiwa kabisa.
 
Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya maendeleo ya jimbo letu. Kikao hiki sio cha kichama karibuni sana
Haya, tutakuja bila kukosa na kwa wale wasiyojua siku ni jumapili ijayo.
 
Mpuuzi flani atakuwa hapo hakika nikiweka mguu wanvu hapo nife .......silly season, sorce my bro lissu,amocha.
 
Huyu ni mwigulu nchemba kamili, anajipanga kuzuia m4c extra aliyo tangaziwa. [ Huyu si Mwigulu ni wana Iramba west nawe kama ni wa huko unakaribishwa hatukusanyi fedha ni mawazo yako tu yanataki maana serikali imeshashindwa
 
Back
Top Bottom