Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OPORO, Aug 18, 2012.

 1. O

  OPORO Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Freeman Alkaeli Mbowe anaamini kuwa fursa ya CHADEMA kuchukua nchi ni 2015,hivyo ni fursa muhimu kwake kugombea urais kupitia CHARDEMA,ili afanikiwe ameamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA mwakani ili ajiweke katika nafasi nzuri kinyume na kauli yake kuwa hatagombea uenyekiti tena.

  Ili kufanikiwa kwa sasa mkakati unaoratibiwa na wafanyakazi wa CHADEMA ndani ya chama ni kuandaa na kuratibu mapambano dhidi ya Dr.Slaa anaeonekana kuwa kikwazo kikuu na kisiki cha mpingo kwake,hofu juu ya zitto inazidi kupungua kutokana na umri,kasha zinazozidi kumuandama Kabwe.

  Wapenda haki na mabadiliko ndani ya nchi hii,mwambieni Freeman Mbowe kuwa kwa sasa Dr.Slaa anafaa kwa vigezo vyote japo anamadhaifu mengi kama wanadamu wengine lakini ukimlinganisha na Mbowe utajua umuhimu wa Dr. Slaa.

  Naomba kusema haya kwa kuwa napenda mabadiliko yatakayohakisi maisha ya watanzania na si vinginevyo
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Mi naona wote wagombee, mbowe,slaa na zitto. Iwe nchi ya kwanza kuwa na marais watatu.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hakuna chama kinaitwa CHARDEMA....propoganda @ work issue kwa sasa ni elimu ya uraia kupitia M4C haya ya nani atagombea urais kwa tiketi ya CDM ni uamuzi wa wanachama na siyo mtu binafsi.Pole sana huu si wakati wake waambie umewakosa wapo kwenye M4C
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Mie nashauri na majebere pia agombee!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Busara itatumika kupata mgombea sahihi 2015, shaka ondoa.
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  OPORO Umepotea njia. Uliza wenyeji wakuelekeze
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Heri ya mbowe kuliko slaa...akigombea itabidi nikapige kura kwa mara ya kwanza nimpigie.wala hakuna makubaliano rasmi kwamba lazima slaa ndo awe mgombea wa urais.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Naomba ukimuona TUNTEMEKE msalimie sana.
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu kwa jibu zuri.Tuntemeke bana sijui ana shida gani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mimi namjua mbowe tu Kwani slaa ni nani mpaka amzuie mbowe asigombee
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Mbona 2010 Mbowe alikuwa Mwenyekiti lakini Dr. Slaa ndie aliyesimama kugombea URAISI? Hayo Unayoyatoa SIO ya kweli

  Unaweza kutupa SOURCE zako? AU ni FITINA TU? HATA ZITO KABWE kugombea URAIS kutokea CHADEMA hakutegemea

  kuwa ataugombea UWENYEKITI WA CHADEMA; HIKI SIO KAMA CCM; Kubeba Mavyeo kwanza Halafu ndio Uwe RAIS...
   
 12. maghambo619

  maghambo619 JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  hii nchi inamfaa sana dakta slaa, 2we serious jamani!! Kila m2 ana umuhimu wake CDM naamini hlo!, ila kwa nafasi ya urais inabidi 2we serious 2cjeonekana wasanii!
   
 13. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mavyeo wanaona hayatoshi wanajipa na na maudoctor yaani amiri jeshi, raisi, mwenyekiti wa ccm .mwenyekiti baraza la mawaziri
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mie naona kwanza wangejaribu kupata japo nusu kitu (uwakilishi) huko Zanzibar.
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ili iweje? Zanzibar wanataka nchi yao kwa nini utafute nusu kitu katika nchi ya kigeni?
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mbona mnawafanyia psychological war watu wengine wanaotaka kugombea? Slaa alishasema 2015 atakuwa mzee sana nataka kupumzika. Mbowe kasema muda huu ni wa kuimarisha chama sio kutangaza nia. Zitto kashasema yum. Wengine wamo ila wamekaa kimya kusubiri muda - hawa mnawafanyia vita ya kisaikolojia mkianzisha mijadala kama hii, matokeo yake nao watatangaza nia.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Nadhani Lema ndio anafaa kugombea urais ni mtu makini mwenye upeo.
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Inaitwa uhuru wa kuongea huo
   
 19. m

  malaka JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mnataka kuhamisha majoka yenu huku CDM? Hii style ya uroho wa madaraka ipo Mwabwepande tu kaka sio huku. Pole
   
 20. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hichi chama chako?
   
Loading...