Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefarijika sana niliposikia kuwa Wakili Msomi Tundu Antipas Mughwai Lissu atajiunga na Wakili Msomi Method Kimomogoro kujenga hoja mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kuonesha...
23 Reactions
62 Replies
9K Views
chama cha makabwela chama cha wanainchi CUF kesho kitafanya matembezi makubwa yatakayoanzia Buguruni shell na kuishia viwanja vya Jangwani, lengo ni kukusanya zaidi ya sh 1bln kutoka kwa wanachama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukiwachunguza viongozi wa CCM hutashindwa kung'amua ufisadi ulivyowakolea hadi kwenye kope zao. Ukiziangalia na kuchunguza pua zao utagundua zinacheza cheza kama za sungura zikinusanusa uwepo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dodoma — HIGH inflation rate and current economic difficulties the country faces are a result of food shortages and increased fuel prices in the world market, the National Assembly was told...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama kinachojinasibu kwamba ni cha demokrasia na maendeleo hapa nchini huku kikishindwa kutekeleza nadharia yao ya demokrasia kwa vitendo kwa kujaribu kuzuia wanachama wake kwa hila mbalimbali...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kile kipindi cha dakika 45 za ITV leo zamu ya Mzee Malecela. Nasikia ataongelea mgogoro wa Tanzania na Malawi najiuliza kwanini ITV hawaaliki viongozi waliopo nje ya serikali au niseme moja kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf naomba mnijuze m4c iringa imeishia wapi? Coz nimekua mbali sana na media takribani week moja, nahamu nao sana.
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Akiongea na kituo cha Metro fm asubuhi ya leo jijini Mwanza, Matata anamtuhumu wenje kutafuna michango ya madawati iliyopatikana viwanja vya sahara katika harambee iliyohudhuriwa na mtoto wa Raila...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Mzee John Malecela inavyoelekea hajui mkataba wa 1890 kati ya waingereza na wajerumani. Amesema awali mkataba ulikuwa katikati ya Ziwa. Baadaye mpaka ulihamishiwa upande wa Tanzania na magavana wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nguvu ya mabadiliko inayoongozwa na chama kilicho moyoni mwa wazalendo wa kweli wa nchi hii inanipa hofu kuamini kama mzee wangu Mwalimu Julius K. Nyerere LEO hii angekuwa hai angeendelea kumiliki...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Tweet to Zitto Zuberi Kabwe...
1 Reactions
149 Replies
17K Views
Hadi sasa hakuna tamko lolote kuhusu yaliyojiri katika uchaguzi wa Uwakilishi jimbo la Bububu ambapo mgombea wa CCM alishinda, mbali na kulalamika kwa mgombea wa CUF kwamba uchaguzi haukuwa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kutokana na taarifa ya saa 1 usiku huu Channel Ten. Kamera yake imeharibiwa na risasi zilirindima hewani, matairi kuchomwa wakati wa zoezi la uchaguzi mdogo leo hii. Ni mabomu, risasi uchaguzi...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
The Metropolitan policeman who struck and pushed Ian Tomlinson as he walked away from riot officers on the fringe of the G20 protests in London has been sacked with immediate effect after a...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Written by Zdaima // 17/09/2012 // Habari // 4 Comments GNU IPO KAZI. BY Zdaima 1. Athari za uandikishaji 2010. Hakuna mabadiliko yoyote ni orodha ile ile ambayo wanachama wengi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, umeagiza aliyekuwa Katibu wa UVCCM wa wilaya hiyo, Alhaji Omari Kariati, anayetuhumiwa kufuja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF nadhani mnakumbuka wakati balozi Ramdhani Omari Mapuri aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na katibu mwenezi wa CCM aliposema Tendwa anaongea na kufanya mambo yake kama karani. Kwa lugha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Najua wakuu wa Vyama hivi wanatembelea JF. Na tunajua teknolojia ya habari na mawasiliano ilivyo muhimu katika kupashana habari, inaweza kuzuka hoja kwamba hii mitandao ya kijamii inatembelewa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii imetokea ucku wa kuamkia jana katika uwanja wa jamhuri Dodoma ambapo RC Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi katk kukabidh gar kwa mshindi wa fiesta. Alipanda jukwaani na kusema "Dodoma hoyee"...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
na Sitta Tumma, Magu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, juzi alibanwa kwa maswali magumu na kutoa majibu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom