Mkutano wa CHADEMA M4C Kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CHADEMA M4C Kigamboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgelukila, Sep 16, 2012.

 1. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo eneo la vijibweni linalopita dalaja Isaya Charles aligombea nafasi ya udiwani lkn kura hazikutosha hata hivyo inasemekana alichakachuliwa mgeni rasimi ni George kutoka makao makuu ya chadema.ulikuwa mkutano wa kuwashukuru wananchi na kuwaeleza haki inapiganiwa wasisubiri watapeliwe na magamba, wametuma ujumbe kwa mh. Ndungulile MB aache uwoga alianza vizuri kwa kusema ukweli bungeni wakamwita na kumtisha hadi leo anaogopa kuitisha mkutano na wananchi alitolewa nje Dodoma siku 3 akawa shujaa sasa kaufyata AACHE UWOGA. Katishwa na vigogo wa ufisadi anapoteza ujasili anakaribishwa CDM. Picha za eneo la mkutano.
   

  Attached Files:

 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Hii tena mpya! Mkutano live saa hizi!?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Mbona mmechelewa kuanza??
   
 4. KIBOKO MSHELI

  KIBOKO MSHELI Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  peoples
   
 5. M

  Mgelukila JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulianza mapema saa nane nilichelewa eneo la tukio nimefika nimekuta unaendelea sasa nikiita live kunakosa maana hata picha nimepata kamanda.
   
 6. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA huku jimbo la KIGAMBONI tuongeze nguvu zaidi. Maeneo mengi yanasubiri MABADILIKO ya kweli, mfano: mbagala pamoja na Kata zake ZOTE.... Moto wa kweli UNAHITAJIKA maeneo haya.
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mod unganisha hii thread na ile nyingine ili kuwapa watu mtiririko wa yaliyojiri.
   
 8. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,219
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  safi sana majembe.
   
Loading...