Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu nimepita kwenye viunga vya Morogoro na kukuta mabango yanayoonyesha kuwa KAMATI tendaji ya BAVICHA inakutana mjini Morogoro kwa siku tatu mfululizo. Sijajua kuna nini ila nabashiri kuwa...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
kama mnavyojua wanan jf tarehe 20.9.2012 mahakama ya rufaa itahamua rufaaa ya kamanda lema,itaamiliwa na majaji watatu,naomba makamanda wa arusha mkipata muda tujumuike kwa wingi kumpa sapoti kamanda.
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu wana-JF niliwahi andika huko nyuma kwamba CCM (chaka la mafisadi) limeunda mkakati wa kuhakikisha CHADEMA hawachukui dola kwa gharama zo zote. Thread ile ilibezwa na baadhi ya wana JF; na...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
17 September 2012 Mh. Mwakyembe akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Ahmada Ngemera (kushoto) na Afisa wa Wizara ya mambo ya Nje Ali Ubwa Mussa (Kulia). Mhe. Waziri na ujumbe wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nianze kusema mimi ni NAM person..sifungumani na Upande wowote Hasa katika Maslahi na matakwa ya wananchi,,im free opened MIND! Ndo maana naweza kusema kuwa CCM sasa kuna baadhi ya Mawaziri...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
JUMATATU, SEPTEMBA 17, 2012 05:49 NA JOHN MADUHU, MWANZA WAKATI vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vinatarajiwa kuanza leo, hofu imetanda miongoni mwa wagombea wa nafasi mbalimbali za chama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana kwenye mkutano wa Chadema Milton Keynes wanachama wengi walijiunga na hizi hapa chini ni baadhi tu ya picha za matukio hayo More to come TASWIRA MBALI MBALI ZA MKUTANO WA CHADEMA MILTON...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hakuna anayeweza kubisha kwamba sasa Serikali ya Umoja wa Kitaifa imejaribiwa na imefeli majaribu hayo. Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Bububu ulikuwa ni mtihani uliokuwa ndani ya mtihani. Mtihani wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyama vya siasa nchini Tanzania tangu vianze vimeleta demokrasia hasa ktk uhuru wa kutoa mawazo, raia kujua haki zao nk lakini lengo kubwa nafikiri ilikuwa pamoja na hayo kumletea mawananchi...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Chama cha wananchi CUF kinaanza kuzunguka nchi nzima,tarehe 30.9.2012 watakuwa hapa Arusha kufanya mkutano mkubwa,swali je wataweza kufuta nyayo za CHADEMA?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna makosa mengi ya jinai ambayo yanatokea katika mazingira ya makusudi na watu wanafanya hivyo kwa kujua kwamba watafikishwa mahakamani na baada ya hapo kutakuwa na mwenendo wa kesi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Nilipata fursa ya kuwasiliana na mtonyaji wetu ambaye ameniambia kwamba Chadema tuwashukuru sana waandishi wa habari za Iringa na Tundu Lissu kwa sababu wameifanya serikali ishindwe kitu...
37 Reactions
69 Replies
10K Views
Friday, 02 September 2011 NI KAMPUNI YENYE UHUSIANO NA JWTZ, ZITTO AHOFU USIRI KUTAWALA UCHUNGUZI wa Bunge kuhusu ufisadi wa zaidi ya Sh205.9 bilioni unaodaiwa kufanywa kupitia Kampuni...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Prof Shivji aliwahi kusema nguzo za KATIBA TANZANIA, na hivyo nguzo za utawala wa CCM ni: (1) chama kimoja CCM; (2) MUUNGANO TZ na ZANZ; na (3) urais wa kifalme (imperial presidency). HAYA...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Lowassa adaiwa kumhujumu Sumaye, kumbeba Nagu .Mwenyewe ang�aka, asema wote ni marafiki zake Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na Nagu. Chaguzi zinazoendelea ndani ya Chama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mgeja: Wana CCM acheni malumbano Na Suleiman Abeid, Shinyanga WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, wametakiwa kuacha malumbano yasiyo na tija katika kipindi hiki ambacho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeudhuria mkutano wa M4C wa Chadema walikuwa na watu wengi. Wamepata wanachama wapya. Kama haujajiunga jiunge sasa ili tuweze kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Asanteh
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hon. Bernard K. Membe (MP) (left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation waiting to receive former President of Mozambique, Mr. Joaquim Alberto Chissano at Mwalimu Julius...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
KILA uchaguzi unapofanyika, malalamiko hayaishi hata kama anayelalamika kushindwa ameachwa kwa kura nyingi sana.je, ni uchanga wa demokrasia? najaribu kuuangalia uchaguzi wa bububu zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam wadau, Kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam hasa pande za Kigamboni na maeneo ya jirani, kesho kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika Vijibweni na kuhutubiwa na makamanda kadhaa kutoka...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom