Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni katika vikao vya bunge lililoisha ambapo aliuliza swali kwa nishati na madini,kwanini Tanzania taifa dogo tusisitishe ndoto ya kutumi nishati ya nucrear wakati mataifa makubwa yanataka kuachana...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
DIWANI wa Kata ya Kitangiri, Henry Matata ambaye amevuliwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema, amewasilisha mahakamani zuio la kutekelezwa kwa uamuzi huo. Matata aliwasilisha hati ya kuomba...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Wanabodi, Leo kulikuwa na mkutano wa hadhara Masasi watu ni wachache mno (hawazidi 500)inavyoonesha wananchi wa huku bado hawajaupokeo wito wa M4C. Inavyoonesha mkutano haukutangazwa ipasavyo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwalimu NYerere alitoa elimu bure, matokeo yake baada ya miaka 20 nchi ilitembelea magoti. CHADEMA (Mh Slaa) japo ya kujua hilo bado ilisisitiza kutoa Elimu bure kwa watanzania wote ili ishinde...
1 Reactions
145 Replies
11K Views
Leo ilikuwa vifijo na nderemo kwa wakazi wanaoishi kata ya Makuburi na Ubungo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika maeneo ya Riverside, baada ya Mnyika kuwapa taarifa kwa upande wa Makuburi kuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa na maswali mengi sana juu ya polisi kupiga mabomu ya machozi mpaka ndani ya ofisi kule nyololo Iringa. 1:je lengo lilikuwa kwa waliokuwemo ndani ya ofisi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Tumeshuhudia tokea Mwangosi auawe kinyama na polisi, septemba 2, mwaka huu, na jinsi, jeshi hilo la polisi, lilivyojitahidi kwa juhudi zote, kujifanya kuwa wao hawakuhusika, badala yake wakadai...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Na Chalila Kibuda SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kumfungulia kesi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye, CCM imesema haina...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa muda mfupi ambao nimekuwa nikienda Tabata Segerea kupitia njia ya Vingunguti nimeona umuhimu wa njia hiyo katika kukwepa foleni kali ya njia panda ya Tabata iliyopo Mandela Road. Njia hiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari mahiri, mhariri na wakili wa kujitegemea, Nyaronyo Mwita Kicheere, ambaye wakati fulani alikana jina lake hilo na kusema kuanzia sasa anaitwa Ridhiwani Jakaya Kikwete, ameamua...
14 Reactions
36 Replies
5K Views
operation mchakamchaka hadi 2015 leo imeendelea katika kata ya ndugumbi na kuzoa wanachama wote 114 wa ccm katika tawi kagera mikoroshini na kushusha bendera ya CCM na kupanda ya CUF, akiongea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo Umoja wa Wanawake wa CCM wamemfanyia sherehe kubwa Dr Asha-Rose Migiro kwa kurejea kwake nchini baada ya miaka yake 5 kama Naibu Katibu Mkuu wa UN, kazi ambayo wakina mama hayo wamesema...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Miaka 30 na iliyopita mtumishi wa Mungu Askofu Stephano Moshi wa KKKT alipata maono...Kilimanjaro Christian Medical Centre kwa kushirikiana na wengine akiwemo Prof Otto Walter hospitali hii...
0 Reactions
50 Replies
14K Views
Wana JF Nimethibitishiwa na msaidizi wa karibu wa Waziri wa mambo ya ndani kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa Jukwaa la wahariri na aliyekuwa na jukumu la kuandaa maandamano hayo Bwana Nevil Meena...
0 Reactions
114 Replies
9K Views
Hapo siku chache zilizopita CHADEMA kupitia mwenyekiti wake Taifa hon. Freeman Mbowe wali-declare uamuzi wa kuisusia na kutangaza mgogoro na TBC1 tv na Radio yake pamoja na kuutangazia umma kuwa...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuelekea uchaguzi wa kata ya daraja 2 utakao fanyika tarehe 30/09/2012 chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza mikutano ya mtanange huo kwenye kata hiyo kuhakikish kata hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tutawajuza mkutano unavyoendelea , watu wa mwanza kuingia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutoka KIA, Kingori, Kibaoni, Kikatiti, Maroroni, Njia Ng'ombe, Maji Ya Chai, Kwa Alois, Kambini, Momela Usa-River na Leganga. Na Kutoka Arusha mjini, December, Ngalimi, Mianzi, Sanawari...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
JUMAMOSI, SEPTEMBA 15, 2012 07:22 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM WIZARA ya Nishati na Madini imeunda jopo la wasomi na wataalamu saba kwa ajili ya utafiti wa kuwachunguza wawekezaji waliopo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shamba la Kilari lipo Kijiji cha Magadini, Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro. Shamba hili lilikuwa linamilikiwa na Wahindi, lilikuwa linalindwa sana na serikali ya CCM, halikuvamiwa.Wahindi hao...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom