CCM yashinda uchaguzi mdogo Bububu Zanzibar

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
 
Hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi wa uwakilishi jimbo la bububu, ambapo vyma kadha ikiwemo cuf na ccm vilishiriki.Kwa kuwa chadema haina nguvu kubwa haikuweka mgmbea ili kutopoteza muda na kuingia gharama zisizo na msingi.Le uchaguzi umefanyika na ccm imeshinda kwa kishindo.Cuf ambacho ni chama chenye nguvu pinzani, unguja na pemba, kimeangukia pua.Tathmini ya siku nyingi ya wanazuoni wamekuwa wakiilaumu cuf wakutengeneza maridhiano na sheria ya kufaidisha wachache na kukidhoofisha chama.Uchaguzi uliopita alionekana mh.jussa alilaumu chadema kwa propagada chafu zinachokifanya kishindwe, je kipindi hiki jussa na komredi mtatiro wanakisingizio gani?
 
Chadema wamepata kura asilimia ngapi?

Tumewaachia CUF manake last time tulikuwa the 2nd wakalalamika, sasa wameona mbabe wa Magamba ni nani. Sidhani kama watakuwa na vcingizio manake wote ni ndugu hao Magamba A na Magamba B
 
Hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi wa uwakilishi jimbo la bububu, ambapo vyma kadha ikiwemo cuf na ccm vilishiriki.Kwa kuwa chadema haina nguvu kubwa haikuweka mgmbea ili kutopoteza muda na kuingia gharama zisizo na msingi.Le uchaguzi umefanyika na ccm imeshinda kwa kishindo.Cuf ambacho ni chama chenye nguvu pinzani, unguja na pemba, kimeangukia pua.Tathmini ya siku nyingi ya wanazuoni wamekuwa wakiilaumu cuf wakutengeneza maridhiano na sheria ya kufaidisha wachache na kukidhoofisha chama.Uchaguzi uliopita alionekana mh.jussa alilaumu chadema kwa propagada chafu zinachokifanya kishindwe, je kipindi hiki jussa na komredi mtatiro wanakisingizio gani?
Ushindi wa kishindo ukoje?
Unaweza ukaweka data hapa za kura walizopata wagombea wote tuone kama kweli ulikua ushindi wa kishindo??
 
Ameanza na ... hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi.... kama vile ni siku kadhaa zimepita kumbe ni leo! Haonyeshi kishindo!
 
Hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi wa uwakilishi jimbo la bububu, ambapo vyma kadha ikiwemo cuf na ccm vilishiriki.Kwa kuwa chadema haina nguvu kubwa haikuweka mgmbea ili kutopoteza muda na kuingia gharama zisizo na msingi.Le uchaguzi umefanyika na ccm imeshinda kwa kishindo.Cuf ambacho ni chama chenye nguvu pinzani, unguja na pemba, kimeangukia pua.Tathmini ya siku nyingi ya wanazuoni wamekuwa wakiilaumu cuf wakutengeneza maridhiano na sheria ya kufaidisha wachache na kukidhoofisha chama.Uchaguzi uliopita alionekana mh.jussa alilaumu chadema kwa propagada chafu zinachokifanya kishindwe, je kipindi hiki jussa na komredi mtatiro wanakisingizio gani?
Maalim alikimbia uchaguzi akaenda zake Ughaibuni. Angekuwepo tungeshinda
 
Ameanza na ... hivi karibuni kulikuwa na uchaguzi.... kama vile ni siku kadhaa zimepita kumbe ni leo! Haonyeshi kishindo!

Kishindo ni kishindo tu hata kama ni 0.00001% bado ni kishindo. Hapo kuna ubaya gani?? wakati Baba na Mama walienda sokoni kununua Nyanya, Mama kujisachi kwenye pochi hana hela, Baba akatoa zake kununua, Nyanya zile si zitaliwa na wote??
 
Back
Top Bottom