Julius Mtatiro kugombea urais 2015 kwa ticket ya cuf kuvunja hofu ya udini

Zamani nilikuwa siamini mtu na akili zake timamu, akiona kuna mtu kajinyamazia, basi anamzushia zengwe ili tuu kumchokoa!.

Mtatiro ni boya tuu pale CUF ili kuzugia kupunguza yale makali kuhusu CUF ni chama cha aina gani!.

CUF inao mgombea wa kudumu kwa nafasi zote za urais bara na visiwani!, kwanini mnamchokoza huyo ngao yenu Mtatiro kwa kumzushia na kumsingizia?!.
 
Jana wametamka ni Chama cha kidini, na wanawaomba wanachama wa Dini ya kiislamu waliopo CDM, CCM na kwinginepo waende CUF sasa leo waongozwe na Rais Mtatiro kwani ni Muislam?
 
Zamani nilikuwa siamini mtu na akili zake timamu, akiona kuna mtu kajinyamazia, basi anamzushia zengwe ili tuu kumchokoa!.

Mtatiro ni boya tuu pale CUF ili kuzugia kupunguza yale makali kuhusu CUF ni chama cha aina gani!.

CUF inao mgombea wa kudumu kwa nafasi zote za urais bara na visiwani!, kwanini mnamchokoza huyo ngao yenu Mtatiro kwa kumzushia na kumsingizia?!.

Mmh jamani huyu Mtatiro mnayemuongelea ni huyu tunayemfahamu? Kama ndiye mbona hata miaka 30 hajafikisha? Atagombeaje 2015? Maaana sidhani hata kama kwa 2025 atakuwa anaqualify. Mi nadhani tunapaswa kuacha majungu na tuwe tunajadili vitu vya maana.
 
Umri, umri umri. Mtoa mada hajui hata Umri wa Mtatiro wala matakwa ya katiba ya sasa (Hatuna hakika kama katiba mpya itaruhusu U40 kugombea.
 
Mtatiro hata kuwa VILLAGE EXECUTIVE OFFICER hafai. nyie mnazungumzia urais? Au atakuwa raisi wa Bububu na Mchambawima?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom