M4C yatua majengo kwa mtei na akihutubiwa na Mh Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C yatua majengo kwa mtei na akihutubiwa na Mh Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dmayola, Sep 16, 2012.

 1. d

  dmayola JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF leo kulikua na mkutano wa M4C ukiongozwa na Mh Lema, mstahiki meya Jafari pamoja baadhi ya madiwani akiwemo Abuu shayo wa kata ya Langoni, Mh mbonea kata ya mji mpya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali. Katika mkutano huo Mh Jafari aliwaelimisha wananchi kuhusu kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwa madiwani wa manispaa ya Moshi walitaka kufanya safaria ya Kigali Rwanda kwa ajili ya mafunzo ya usafi wa miji ambao mkuu wa mkoa aliuita kuwa ni wakifisadi. Umati mkubwa wa watu hasa wafuasi wa CDM walijitokeza kwa wingi. Ama hakika ufafanuzi alioutoa mh Meya Jafari umewafurahisha wengi kwani wamelaani mkuu wa mkoa kufanya kazi za kisiasa badala ya kuwatumikia wananchi. Mh Jafaria alisema kuwa utaratibu huo ni wa kawaida kwa madiwani wote nchini na sio wa manispaa ya Mji wa Moshi pekee na ni utaratibu wa kisheria. Hata hivyo aliendelea kufafanua kuwa wamesitisha safari hiyo kwa kusikiliza maoni ya wananchi waliowaomba kusitisha na sio kwa kufuata maagizo ya mkuu wa mkoa kwani yeye ni mteuliwa wa rais na kada wa ccm na pia wangeamua kwenda Kigali wangeenda na Mkuu wa Mkoa asingeweza kuwachulia hatua yoyote. Pia wamesema pia wanamheshimu kama mkuu mkoa na kusikiliza ushauri wake.

  M4C forever. Peoplessssssssssss
  Naomba kuwakilisha.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Binafsi sioni ulazima wa kupeleka madiwani wote Kigali ukizingatia kuna mambo mengi yanahitaji fedha kwenye manispaa yao. Wanaweza kupeleka baadhi ili waje kuwaambia nini kipya - kama kuna jipya Kigali maana Moshi nako kusafi sana.
   
 3. M

  Magesi JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lema amefunika sana ametembea kwa mguu kutoka eneo la mkutano kias kama mita 300 hivi pamoja na samwel nko kutoka Arumeru mashariki huku wafuasi wa CHADEMA wakijumuika nae kias kwamba ilibid OCS amsih Mh.LEMA KUPANDA KWENYE GARI ILI KUSITISHA MAANDAMANO AMBAYO YALIFANYA BARABARA KUTOPITIKA
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Namuamini sana kipenzi cha arusha.God bless you Godbless Lema
   
 5. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  OCS mwenyewe hana tija. .....ni kibaraka wa magamba.
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  hapo kwa Kipanga bado nyama ipo?

  Viva m4c
   
 7. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  CDM nao mbona wanataka kutuangusha kama magamba? Yaani usafi wa mji tu mpaka watu waende Rwanda? kwani wao vichwa vyao havifanyi kazi sawasawa? Hii ni kama kwenda kumuuliza mtu namna ya kufua nguo zako.
   
 8. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Manispaa yao inamapato ya kutosha kuwapeleka study tour. Mimi sioni shida. Ok, wafuate kauli za waajili wao "Peoples' Power"
   
Loading...