Nimrod Mkono aitisha CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimrod Mkono aitisha CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbunga, Sep 14, 2012.

 1. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kupitia magazeti kwamba Nimrod Mkono (Mbunge wa Musoma Vijijini - CCM), akisema kwamba ameshtushwa na taarifa kupitia vyombo vya habari kwamba jina lake limeenguliwa toka katika watu wanaogombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi. Amesema kama kweli jina lake limeenguliwa basi CCM patakuwa hapatoshi.

  Hivi CCM niliyokuwa naijua imefikia kiasi cha kutishwa kiasi hicho na wanachama wake? Kweli CCM imekuwa kama kambale: Baba sharubu, mama sharubu na watoto sharubu.

  Mkuu Mchambuzi CCM imefikia hatua ya kutishwa na kila mtu. Watishaji wana moral authority kweli ya kuitisha CCM au ndio kusema CCM imekosa watu wenye moral authority ya kukemea?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini ametishia chama chake endapo kitamtosa mpaka mwisho kwenye kinyang'anyiro cha Ujumbe wa NEC. Amesema hayo baada ya kutoswa kwenye mchakato wa awali.

  Source: Mwananchi

  Karibu TLP Fisadi, Chadema huna nafasi
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kweli CCM kwishney!
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Maneno ya mkosaji! Ana ubavu gani wa kutishia Magwanda?
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu siyo katishia magwanda katishia magamba!
   
 6. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ukikubali kula vya watu lazima nawe uliwe...ndio matunda ya CCM kuendeshwa na mafisadi
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmhhhh magamba huruma
   
 8. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jana nilimuona ITV anaisifia CHADEMA "eti" hainaga longolongo kwenye chaguzi zake!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  teheteh kwani ana hati miliki nndani ya Magamba? ni lazima na yeye awepo ndo chama kisonge mbele? hakuna fikra mpya huko magamba jamani khaaaaaaaaaa
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wameona hana sifa za kugombea ndo maana wamemchuja
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  Labda wamemuengua kwa kuwa alitia sihihi kwenye daftari la zitto kabwe za kumtoa waziri mkuu. ameonekana hawezi kulinda chama. watakuwa wanamuona kama msaliti. mia
   
 12. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  hata JK analijua hilo
   
 13. a

  adolay JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Penye kufuka moshi ni dalili ya ...........tusubili hiyo ni kama barafu lililochomoza kidogo tu juu ya maji ilhali huko chini ni kubwa balaa limefichwa kwa kufunikwa na maji.

  ccm wanahitaji kamanda wa vitendo na mwenye kuchukuwa hatua kukirudisha chama kwenye mstari, vinginevo ni kama barafu kitayeyuka taaratibu na kutoweka.
   
 14. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kweli inawezakana hili liliwaudhi jamaa zake na sasa wameamua kumtosa! Ila patakuwa hapakiliki huko Magambani maana jamaa anajua masiri yao kibao
   
 15. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sorry mkuu!
   
 16. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaaa ndio inawezekana. hiyo inaitwa zunguka nikuzunguka.
   
 17. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimrod Mkono ni mmoja wa ma King Makers wa CCM. Kama 'Amepigwa chini' basi mjue hata hao ma King Makers wana mpasuko
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,376
  Likes Received: 22,242
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni magamba, yaani yametanda hadi kwenye ubongo hivyo yanapunguza uwezo wa kufikiria
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  fisadi tu huyo hana cha kuitisha ccm, naye ataingia mitini kama alivyofanya kigwangala.
   
 20. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu Kiganyi huenda anajiandaa kwenda huko!! Huko kupasifia sio bure, ngoja tuone
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...