Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tafakari kwa sasa tunaweza kuyawekaje manano hayo kwa mkoloni mweusi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Makala ya hapo chini , Robert Muhangwa amebainisha kuwa Mhe. Zitto sio safi waal makini kihivyooo!!! Akichambua makala hiyo asubuhi ta leo katika Kipindi cha STARTV- Tuongee asubuhi, Muhangwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wanajamvi, ndege ya serikali ya Tanzania inatakiwa itumike na viongzi wa Serikali Tanzania, kwa maana hiyo viongozi wanaowajibika kwa upande wa Tanganyika au zanzibar tuu hawapaswi kuitumia ndege...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh Peter Msigwa akiongea na wanahabari ofisi kwake leo Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mh Peter Msigwa amesikitishwa kuona viongozi wakuu wa serikali kukaa kimya kutokana na kifo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inasemekana baada ya njia zote za kudhibiti mkutano wa CHADEMA hapo kesho kushindikana, mkuu wa wilaya ya Arusha mjini na meya wa CCM Gaudence Lyimo wamekutana na kuweka mkakati wa kuufunga uwanja...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Chonde chonde Rais Kikwete watanzania tunakuangalia, dunia inakuangalia kuhusiana na matukio yanayoashiria uvunjivu wa amani ya Tanzania tuliyoizoea. Polisi wamegeuka chinja chinja rais umenyamaza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zile pesa ambazo Tanesco wameamriwa kumlipa dowans sh 96 bil ni mpango wa ccm kukusanya pesa kwa ajili ya kuwahonga upinzani na hatimae kuchukua nchi tena kama 2010. Tanzania be hold on that. More...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kile ambacho kingeushangaza umma wa kiTanzania, uongozi WOTE wa Halmashauri ya mji wa Moshi ilijipangia safari ya kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya matembezi ya kusafisha macho na kuona...
0 Reactions
157 Replies
13K Views
BARAZANI KWA AHMED RAJAB Toleo la 257 5 Sep 2012 MOJA ya mambo yenye kushangaza katika mjadala unaoendelea Zanzibar kuhusu Muungano wa Tanzania ni ile dhana ya kwamba upinzani dhidi ya...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
0 Reactions
192 Replies
16K Views
Nataka TZ hii: 1. Visionary leadership, having the capacity to set institutions of governance that will take this country 100 years ahead 2. Capable leaders capable of translating the vision into...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau, nimekuwa nikijiuliza juu ya hawa wananchi wanaojifanya wanamapinduzi kupitia vyama vya siasa, ni kwanini hawa wapinzania wasiunganishe nguvu na kuunda chama kimoja chenye sera, nia...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Maishani wengi wetu tumetongozwa, iwe kwa mwanammke au mwanamme. Juzi hapa nikiwa kwa Bi Mkora pale Msamvu, akanilalamikia hili, kuwa siku hizi ameanza kutongozwa na hata ambao...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
M4C na mauaji yanayo endelea kutokea kwenye mikutano ya vyama
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Ikionekana dhahili nguvu ya M4C ni tishio kwa CCM,chama hiki kigongwe nchini baada kuendelea kupoteza mvuto kwa kasi kimeamua kuwatumia waganga wa kiayeji(SANGOMA) katika harakati zake za kujaribu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Raisi Kikwete amejizolea sifa ya pekee ya kuwa mtu wa watu kutokana na kushiriki kwake kikamilifu katika shughuli za kijamii hususani misiba. Pamoja na kushiriki kwake katika maziko lakini pia...
7 Reactions
112 Replies
11K Views
akiongea baada ya makabwela kuchangia kwa papo kwa papo na kutuma kupitia M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, A/C YA BANK ya NBC, prof i. h. Lipumba amesema watanzania waendelee kuchangia chama chao...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
siku moja kabla ya rufaa ya Godbless Lema, kutakuwa na mkutano mktano mkubwa kwenye uwanja wa kujidai NMC utakao ongozwa na Lema, Joshua Nasari sambamba nauongozi wa mkoa arusha. wakati huo huo...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Ni jambo la kushangaza sana:kwani pamoja na ukimwa mwingi tuuonao ktk matukio ya mauaji na mateso yatokeayo kwa raia hasa katika mazingira ya kisiasa.Kwa vile taasisi hewa za tafiti nchini hazina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kundi vijana wa cuf maarufu kwa vuguvugu la vijana wa cuf(BVC).linalofanya harakati zake kwenye mtandao wa facebook.sio jumuiya ya vijana cuf(juvicuf) limekuwa likiendelea ama endesha mjadala wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom