Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeona kasi na ukuaji wa chama cha CHADEMA,kiukweli kasi yake ni kubwa na haishikiki.Hujuma nyingi wanafanyiwa ikiwa lengo la kukichafua chama na kukivunja nguvu ambayo imekuwa tishio kwa chama...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
If .............. (you want to be a good non-executive director) With apologies to Rudyard Kipling If you can challenge and ask the killer question And your interests have no conflict, nor are...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Taarifa za kiintelejensia kutoka vyanzo muhimu vilivyo karibu na Katibu wa Jukwaa la Wahariri VINAELEZA KUWA baada ya kukamilisha suala la maandamano yenye lengo la kuichafua serikali na polisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mzee malecela amesema kwa mujibu wa magazine moja linalochapishwa marekani, Tanzania itakuwa ya 11. Aliisoma magazine hii akiwa Marekani (hivi karibuni) hajasema lini. Hiyo magazine ilisema...
0 Reactions
115 Replies
9K Views
wakuu hii ni ile jumuiya ya madaktari iliyokuwa ikitoa matamko ya migomo hapo awali. KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA JUU YA UTEKELEZAJI WA MADAI YA MADAKTARI NCHINI...
14 Reactions
161 Replies
13K Views
Aliyekuwa mbunge wa Sumbawanga mjini Bwana Aeshy Hilaly ametangaza nia yake ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa leo katika mahakama ya rufaa kanda ya sumbawanga na hakimu kuamuru uchaguzi...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Tanzania nchi iliyoko dunia ya tatu yenye utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ikiwa ni miongoni mwa nchi tatu sana kwa umaskini na kujizolea nafasi ya kwanza ya kuwa nchi omba omba(the begger...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale wote wa ccm waliopiga kura kwa Mh. Zito ili kupata uhalali wa kutoa hoja bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu watakatwa majina yao kati ya majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari toka Ikulu zinasema kuwa mara baada ya tume ya usuluhishi kwenda kutafuta muafaka wa mgomo wa madaktari na namna ya kutekeleza kama ilivyo amuliwa na mahakama ya kazi. Mh Jk alitoa dukuduku...
21 Reactions
158 Replies
12K Views
JUMAPILI, SEPTEMBA 16, 2012 08:22 NA ARODIA METER DAR ES SALAAM *Waziri Muhongo asema kesi Tanesco ni ‘ulaji' tu *Asema shirika hilo hivi sasa lina kesi 200 zisizoisha. *Aitaka TPDC...
12 Reactions
88 Replies
8K Views
Kwa kuwa dunia ya leo uchumi unategemea sector binafsi, km wasemavyo "Private sector is the Engine of Economy" inashaangaza sana sector hiyo kutoshilikishwa au kutopewa nafasi bungeni ili kutatua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni wazi Wazanzibar wako clear kwenye ishu ya muungano,makundi yanayoupinga muungano hadharani yanazidi kuuongezeka. Nimekuta maneno haya hapa chini kwenye fb page ya ustaadh Ismail Jussa kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Ndugu zangu leo 17/09/2012 nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya kutoka itv saa 2.00 usiku. Kuna taarifa moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbuga yetu ya serengeti ilivyobarikiwa wanyama wengisana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Majuzi tu hapa niliweka mada inayoonyesha mgomo wa walimu huko Chicago nchi Marekani ambapo hata wanafunzi walihusishwa katika kutetea haki za walimu wao. Mgomo huo ambao umedumu kwa karibu wiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zifuatazo ni sababu za msingi ambazo kama hazitafanyiwa kazi ikulu hapataingilika,ieleweke wazi kuwa mm siipingi cdm ni mwanachama hia kabisa mpaka mwangu wa miezi 8 ana kadi ya cdm. Vjana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akiwa amemshikilia mmoja wa wananchi kwa madai ya kuleta vurugu wakati wa upigaji kura Jimbo la Bububu, Zanzibar jana huku naye akiwaonyesha watu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatimaye madiwani waliotimuliwa na Chadema Arusha wameandika barua kwa Mbowe na Dr Slaa kuomba radhi wasamehewe. Mimi napendekeza wasamehewe kwa sharti la kuondoa kesi mahakamani na pia waukane...
7 Reactions
199 Replies
19K Views
BUSINESS September 17, 2012, 1:35 p.m. ET By NICHOLAS BARIYO Tanzania will review all contracts with oil and gas exploration companies by the end of November, officials said Monday, as the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafakari kwa sasa tunaweza kuyawekaje manano hayo kwa mkoloni mweusi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafakari kwa sasa tunaweza kuyawekaje manano hayo kwa mkoloni mweusi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom