Kero mpya ya muungano! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero mpya ya muungano!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hadoop, Sep 18, 2012.

 1. H

  Hadoop Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi, ndege ya serikali ya Tanzania inatakiwa itumike na viongzi wa Serikali Tanzania, kwa maana hiyo viongozi wanaowajibika kwa upande wa Tanganyika au zanzibar tuu hawapaswi kuitumia ndege hiyo kwa shughuli za pande zao tuu. Sasa inakuweje ustadhi hamad, shein na wenzake wanatumia ndege ya Tanzania? kwani wao wanawajibika kwa Tanzania au zanzibar? Katiba mpya lazima izingatie hili, muungano umekuwa zigo kwa Watanganyika. Tuamkeni Watanganyika la sivyo waondoke zao.

  zanzibar nunue ndege yenu si mna mafuta nyinyi? ndege ile ni mali ya Watanganyika, migodi yetu ndio imenunua lile dege.alaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 2. M

  Msajili Senior Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mawasiliano ya anga ni suala la Muungano.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  unajua nacheka sana...kwani muungano umekufa lini? Maana hata wanaotaka kuuvunja wamenyong'onyea nguvu hawana. Wanasema hawautaki wakiuwa kwenye viunga vya msasani na kigamboni wakati wao ni wa kaazi wa upande ule. Usanii mtupu.
   
 4. H

  Hadoop Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku inakuja mwinyi na wazenj watapanda boti kwa mtutu kurudi kwao mchambawima.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mimi nachojua kama muunganoo haujavunjika na kama hawavunji sheria ya nchi iliyopo katika matumizi ya hivi vyombo vya usafiri wana haki ya kuvitumia tena kisheria kabisa
   
Loading...