CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiini, Sep 18, 2012.

 1. k

  kiini Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana baada ya njia zote za kudhibiti mkutano wa CHADEMA hapo kesho kushindikana, mkuu wa wilaya ya Arusha mjini na meya wa CCM Gaudence Lyimo wamekutana na kuweka mkakati wa kuufunga uwanja wa NMC leo usiku ili kuthibiti dhamira ya CHADEMA ya kufanya mkutano huo.

  Katika mpango huo, OCD ametakiwa kuwaandikia CHADEMA barua nyingine yenye sababu nyingine kuwa uwanja umefungwa ili wamachinga waweze kuhamia baada ya sababu ya awali kukataliwa na CHADEMA kuwa hawaruhusiwi kufanya mkutano kwa sababu darasa la saba wanafanya mtihani.

  Jambo hili limenung'unikiwa na madiwani wote wakiwemo wa CCM kuwa maamuzi haya hayakuwa yamefikiwa hitimisho la kuufunga uwanja wa NMC (open space) na kuwa masihara haya na kukiwinda CHADEMA kisifanye mikutano ndicho chanzo cha mabalaa mengi hapa mjini.
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nahisi Kama harufu ya damu tena.
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli serikali dhaifu kama si legelege
   
 4. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wahamie pale uwanja wa relini.Au watasema pale ni kwa ajili ya ibada tu!!
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa nini ufungaji wa maeneo ya wazi yaendane na utoaji humuku kwenye kesi ya Mhe Lema jijini Arusha??????????

  Ni kitu gani hiki kama si uchokozi wa wazi kwa umma wa Tanzania??.?????? Nadhani sasa kila mtu anaona jinsi gani serikali ya CCM inavyojibidisha kutengeneza mazingira mapya ya kupata sababu ya KUUA TENA RAIA WA NCHI HII?
   
 6. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naililia tanganyika yangu.....Naamini R chuga sio Moro wala elsewhere hawatafanikiwa kwani Hata wakifunga na cheni machalii ya R watabomoa tuu na kuingia lazima mkutano ufanyike Hata skids mtu mark my word..
   
 7. M

  MSAKA-UHURU Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endapo nyinyiem wanataka balaa waje tena na 7bu zao dhaifu km "mkuu wa wake wa kaya", lazma moto arusha utawaka tu kesho
   
 8. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kunguru mwoga hukimbiza ubawa wake!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  JK amenogewa na damu za watanzania kweli kweli, yaelekea wale walinzi wake siku hizi hawashibi wanataka kila wiki damu imwagike.
   
 10. g

  gallaxy Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :loco:
   
 11. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hao jamaa wa CCM na Polisi Arusha wanafanya mzaha na mabadiliko ya Taifa hili...waambie wasiendelee kuchezea nguvu ya taifa hili chalii yangu!!! Akina Mwema, Kova, Nape, Mukama na wana-siasa-za-maji taka wengine ndani ya CCM wamekwama kuizuia M4C, sembuse hapo AR, kitovu cha ukombozi wa umma?? No way!
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Yaani Serikali hii imekuwa kama JINI, linalotaka kunywa DAMU kila mara.

  DAMU ikimwagika wao ndio chakula yao.

  Sasa Tutaibadilisha jina na kuiita "SERIKALI JINI"
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Arusha wiki hii kuna tukio moja kubwa na lenye kuvuta sana hisia za wakaazi hapo; Hukumu ya Rufaa ya Kesi ya Mh; Lema.

  Maoni yangu ni kuwa kufanya mkutano saa 24 kabla ya hukumu (kesho kutwa alhamisi) hilo naona halijakaa vizuri. Kufanya rally siku moja kabla ya hukumu inaweza ikaonekana ni kama kutaka kujenga mazingira fulani (siege mentality). Nawaomba makamnda wetu wakuu Mh; Mbowe, Dr. Slaa, Mh: Mnyika na wengine waangalie kwa busara. Nikijaribu kutumia common sense yangu ndogo, naona ni vema kuahirisha mkutano wa jumatano pengine hadi wiki ijayo. Kwa kufanya hivyo naamini hilo litaepusha kuwapa Magamba na polisi wao sababu zozote za kufanya uovu wao, maana upo ila wanasubiri condusive environment tu.

  Kwa upande wa pili, kama hakuna hukumu ya rufaa ya Mh. Lema wiki hii basi si busara wala haki hata kidogo kwa Polisi kuizuia CHADEMA kufanya shughuli zake halali na za kikatiba za kisiasa. Kwa hiyo OCD, Meya, RC na mamlaka yoyote hapo Arusha isijaribu kutengeneza maafa kwa kuzuia mkutano huo kwa sababu zozote zile.

  Hoja ya Polisi ya suala la mtihani wa darasa la saba ni hoja dhaifu kuliko zote nilizopata sikia. Kwani wananfunzi na wasimamizi wao si watakuwa kwenye vyumba vya mitihani? Kadhalika kama niliuona ule uwanja vizuri nadhani shule zilizopo karibu ni 2 na zote mbili ni za sekondari.
   
 14. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,956
  Likes Received: 6,719
  Trophy Points: 280
  Ni dhahiri kuwa jahazi la na magamba limeshapigwa na mawimbi makali sana, sasa linakaribia kabisa kuzama, sasa kinachofanywa na CCM, na mshirika wao wa karibu kabisa poliCCM, ni kuhakikisha shughuli yeyote ya CDM, iwe ni kufungua tawi, mkutano wa hadhara na maadamano, ambavyo vyote hivyo ni shughuli halali kwa chama chochote cha siasa, na ambavyo ndiyo zana kuu za kuimaliza CCM, vinazuiwa kwa hila ya aina yoyote ile. Lakini hiyo siyo dawa, moto wa M4C, unaowaka nchi nzima kwa sasa, hauwezakani tena kuzimika, hata kwa mabomu ya machozi, wala risasi za moto, kwa hiyo kinachofanywa na CCM, hivi sasa, ni sawa sawa na mgonjwa mahututi aliyepo kitandani, anayekaribia kukata roho, ambaye anafanya kila awezalo, kunusuru maisha yake, lakini katika hali halisi, mgonjwa huyo anahesabu masaa tu ya kuendelea kuishi!!!
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nasikia harufu ya damu kwa mbali.
   
 16. s

  sapal kihava Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ``Milele hawata fanikiwa watazidi kupoteza imani kwa uma. CCM ni siko Lakufa Hata lipatiwe dawa kaburi ni lao`` Tusubiri hiyo hukumu na jaji wao walie mleta namtakia ushindi Kamanda wa vita GODBLESS LEMA.
   
 17. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  Jamaa kapost tetesi sisi wa kwanza kukimbilia hukumu...
   
 18. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,885
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Ujue siamini eti CCM inajiangusha kirahisi namna hii! Kibri wanachopata chadema kinasababishwa na ukosefu wa maamuzi makini ya Serikali ya CCM,...kwa mfano hawa chadema wakiruhusiwa kufanya mkutano wao hapo...wakaongea ya moyoni halafu wakatawanyika kwa amani kutakuwa na tatizo gani? Masaburi alionaga mbali sana aiseeee
   
 19. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,664
  Likes Received: 2,527
  Trophy Points: 280
  kuna mtu atapigwa shaba siku yahuo mkutano
   
 20. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona ghafla namna hiyo au kwa sababu wamesikia ujio wa CUF ARUSHA?
   
Loading...