Mkakati wa CCM kuiua CHADEMA kwa kuitumia CUF na fitina chafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa CCM kuiua CHADEMA kwa kuitumia CUF na fitina chafu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by luckman, Sep 17, 2012.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ndugu wadau,

  nimekuwa nikijiuliza juu ya hawa wananchi wanaojifanya wanamapinduzi kupitia vyama vya siasa, ni kwanini hawa wapinzania wasiunganishe nguvu na kuunda chama kimoja chenye sera, nia dhabiti na viongozi imara wenye kujua na kutafakari hatima ya nchi kwa mapana yake kama kweli ni wanamapinduzi? cha kushangaza sijapata jibu la hili swali katika angle hiyo badala yake nimeipata katika angle nyingine.

  Kuna taarifa za kuaminika kutoka jikoni kuwa, chama tawala kinatumia nguvu nyingi sana, kisheria, kifedha na hata mbinu chafu kuhakikisha chama kikuu cha upinzani kinaanguka kabla 2015.

  Vilevile kuna taarifa za kuaminika za ccm kuitumia CUF,kwa kuwapa pesa nyingi ili kuzunguka nchini kwa lengo hasa zauneutralize nguvu ya chadema, kuna haja gani sasa ya kuwa na vyama vya upinzania? mheshimwa Lipumba tumemuona, tumemuona Julius Mtatiro jangwani anatumia mda mwingi wa hotuba yake kuikandia chadema badala ya sera za chama chake, wameenda mbali sana ili kutimi mkakati wao fedhuri na kuazisha the same operation called VISION FOR CHANGES (V4C) pamoja na kuchangisha pesa kama wenzao wa chadema wanavyofanay.

  Watanzania lazima tutambue kuwa, ukombozi wa nchi si kazi lelemama, ni kazi ngumu sana inayohitaji uvumilivu na nguvu ya ziada kwani tunapambana na watu wenye dola, walioingizwa kwa mfumo mgumu sana uliotengenezwa na mtu mwenye akili nyingi mwalimu nyerere!lakini hatutakiwa kukataa tamaa, pamoja na mbinu zao chafu hakika tutashinda! nchi kama hii yenye kila dalili zote mbaya dunia kuanzia kwenye elimu duni, afya ovyo, democrasia mbovu,haiwezekani kuwa vyama vya siasa 20! huu ni mpango maalumu wa ccm kuzorotesha mabadiliko!kazi yetu lazima tuimarishe vijana kisiasa ili wanakoenda wafanya kazi ya kuwafundisha wengine ili elimu ya urai iwafikie wengi kama kweli tuna nia ya dhati ya luleta mabadiliko!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  CUF ni ma copy Cut paste!! Hawana Jipyaaaaaaa!!! Hawatuwezi...m4c with no apology.
   
 3. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mimi nadhani ni vizuri CUF waendelee na kufuata ya CDM ili kusaidia kuindoa CCM vizuri, sasa kama CUF watapita kwa watanzania na kuwaeleza CDM ni mbaya itasaidia zaidi kuchukua kura za CUF maana watanzania wa leo sio wa jana. jambo jingine CUF wakiichafua CDM, nawashauri CDM wapite kabla na baada ya wao kupita na kuwaonyesha wananchi mizani watakayotumia kupima kati ya CCM, CUF na CDM ni yupi wa kukabidhiwa nchi.
   
 4. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nani ana mpango na uamsho tz?
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wanapoteza muda tu!!!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mawazo mgando kweli yaani wameona M4C nao wakaja na V4C Prof uwezo wako wa kufikili umeishia apo kweli?
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hofu huondoa maarifa
   
 8. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbichi na mbivu huwa ni tofauti siku zote, na genuine from counterfeit will never be the same. Big up CDM, it is getting rough
   
 9. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pigana na ccm kwa hoja, achana na Cuf. Wananchi wanapaswa kumjua adui yao wa kwanza, naye ni ccm. Tusipojiingiza katika malumbano ya hovyo na CuF, ambacho kimeandaliwa kimkakati kuimaliza CDM, basi vita yetu itakuwa na manufaa. Tuwaache wafu wawazike wafu wenzao, tusitumie muda wetu vibaya. Kuijadili CuF ni matumizi mabaya ya rasilimali muda.
   
 10. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hofu huongeza maarifa. Bila hofu ya mtihani, utasoma? au haujasoma, ndio maana umekalia porojo
   
 11. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ni kambi ndogo ya CCM kama walivyo wakuu wa wilaya ni waajiriwa wa serikali ila wanafanya kazi za CCM.
   
 12. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hawa bwana kuunya wanye wao tu,wengine wakeshe na mimavi.
   
 13. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Cdm nadhani hawana haja ya kujibizana nao. Wenyewe watupe sera tuu malumbano hayana tija sasa.
   
 14. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Watatumia mbinu gani mbadala maanake cuf kwishiney ushahidi igunga 2010 kura 11,000
  alipofunga ndoa tu 2011 hapo igunga kura CUF walipata kura 2,000....pamoja na kusaidiwa helkopta na pesa
  watu wa sasa sio wa jana wafanye wafanyalo upepo upo cdm ...weeeee unafikiri mchezo mpaka mzee mzima kusema liwalo na liwe
   
 15. piper

  piper JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Well noted
   
 16. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Angekuwa na akili asingekubali kuolewa na Magamba, alafu bado anapita mitaani akijitapa kuwa na yeye ni mpinzani huku fedha za kuandaa mikutano anapewa na magamba. Matope matupu.
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Wananchi wengi bado wamelala, kwahiyo wana uamsho hufanya kazi ya kuwaamsha walio lala. kama unakubaliana na mimi basi pia utakubali kuwa uamsho Tz unahitajika kwa sana. Karibu kwenye sera na sio kwenye visasi na mauwaji.
   
 18. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Umenena sawa kabisa ila ni bahati mbaya maamuzi ya CUF hawakufanya at the right time tayari walishachelewa wameamka saa 12alfajiri kutafuta shuka wakati mbu wamekunywa damu hadi kuvimbewa.
  CDM walichanga karata vema kwa sasa wanakula bonus biashara kwishasiku mingi.Walidhani ni chama cha msimu na sasa wanahaha kufuta nacho hakikamatiki, kiko mioyoni mwa watanzania
   
 19. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Yan Prof amejishushia heshma sana.
   
 20. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,005
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Ccm na serekali yake maji yamewafika shingoni. Propaganda za udini, ukabila. Ukanda. Chama cha mauaji zimeshindikana sasa wameamua kutumia CcmB. Watanzania sio maboya tunazielewa siasa za maji taka za ccm na cuf. Wataumbuka mchana kweupe pe,?
   
Loading...