Fedha watakazo lipa Tanesco kutumiwa ccm 2015

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Zile pesa ambazo Tanesco wameamriwa kumlipa dowans sh 96 bil ni mpango wa ccm kukusanya pesa kwa ajili ya kuwahonga upinzani na hatimae kuchukua nchi tena kama 2010. Tanzania be hold on that. More news is still to come concerning this conspiracy
I present
 
Hakuna jema kutoka CCM,lolote linawezekana.
Zile pesa ambazo Tanesco wameamriwa kumlipa dowans sh 96 bil ni mpango wa ccm kukusanya pesa kwa ajili ya kuwahonga upinzani na hatimae kuchukua nchi tena kama 2010. Tanzania be hold on that. More news is still to come concerning this conspiracy
I present
 
Hii inawezekana ila safari hii hakuna mwenye siri ndio maana mipango yao mingi inakuwa hadharani kabla. Mungu ibariki Tanzania.
 
hili lipo wazi kabisa kwani hadi hivi sasa DOWANS inayotakiwa kulipwa hayo mapesa mmiliki wake ni utata kwa hiyo kama ni siri basi mmiliki wa DOWANS ni CCM na ndo maana wanashabikia fedha hizo kulipwa.
 
Back
Top Bottom