Ccm mwanza waja na mbinu ya kale kuzuia m4c

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Ikionekana dhahili nguvu ya M4C ni tishio kwa CCM,chama hiki kigongwe nchini baada kuendelea kupoteza mvuto kwa kasi kimeamua kuwatumia waganga wa kiayeji(SANGOMA) katika harakati zake za kujaribu kukabiliana na M4C.Katika hali isiyokuwa ya kawaida nje kidogo ya jiji la Mwanza katika kitongoji cha Buhongwa,kumekuwa na kusunyiko la waganga wa kienyeji(SANGOMA) takribani kumi na tatu nyumbani kwa mzee Shikwabi,wenyeji wa maeneo hayo mtaa wa Ntale wanadokeza kwamba..."hawa waganga wamekuwa hapa kwa siku saba sasa kwa huyo kada wa siku nyingi wa chama mzee Shikwabi...wamekuwa hapa kwa mwaliko wa chama cha mapinduzi(CCM) mkoa kwaajili ya shuguli maalum ya kukisafisha chama,akiendelea kudokeza huyo mwenyeji wa mtaa huo kunakofanyika hilo tambiko anasema...ndugu yangu watu wa mtaa huu tunajionea vituko,yaana mambo ya kichawi yanafanyika mchana kweuupee...hiyo nyumba ya huyo mzee Shikwabi imekuwa kama ofisi ya chama,wanaingia na kutoka viongozi wa chama asubui na jioni,tumekuwa tukimwona mwenyekiti wa chama mkoa,katibu wa chama mkoa na viongozi wengine wengi tu wa hiki chama...hii sio mara ya kwanza hawa waganga kuletwa hapa,mara ya kwanza walikuja wakati ule wa sherehe za CCM,walivyo kuja wakati ule hawakufanya mambo kama wanayofanya sasa,nakumbuka walichofanya siku tatu kabla ya hizo sherehe walichinja ng'ombe watatu weusi,na walikesha wakiimba na kucheza ngoma hadi siku ya sherehe yenyewe iliyofanyika katika uwanja wa mpira pale Kirumba.
Haya jamani hayo kwa kifupi ndo yanayoendelea kufanywa na viogozi wa CCM kwaminajiri ya kujiandaa na ujio wa M4C hapo mkoani.
 
Jamani angalieni kafara katika ziwa victoria oohoo!! manake haya mashetani wapo kutawala kwa mbinu zozote!! Lakini Nimeona kiganja kinaandika ukutani "MENE MENE NA TEKELI CCM"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom