Liquefied natural gas or LNG is natural gas (predominantly methane, CH4) that has been converted to liquid form for ease of storage or transport.
Bad timing may defeat East Africa's plan to...
Wanajamvi najua mtakumbuka historia ya kisiasa kwa upande wa viti vya Ubunge ilivyo na inavyotakiwa iwe na viongozi wa MAGAMBA kana kwamba Tabora hakuna watu wenye akili na uwezo wa kuongoza...
najaribu kuwaletea kipande kwa kipande juu ya wanaojiita jumuiya ya madaktari walioathiriwa na mgomo ambao jana walisikika wakiomba msamaha.hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya social media za...
Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mh Peter Msigwa akutana na waandishi wa habari nakuzungumzia kifo cha mwandishi wa habari wa channel ten na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa...
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda...
Kuna harakati nyingi sana zinafanywa na hichi "chama cha wavaa magwandwa" katika operesheni tofauti tofauti kwa lengo la kutwaa dola.
Ingawa viongozi wa chama hiki wamekuwa wabunifu wa kutumia...
Kumekucha watanzania na wapenda haki.Jaji Mkuu wa Tanzania,Mheshimiwa Mohamed Chande Othman tayari amewasili jijini Arusha kwa ajili ya kusikiliza rufaa ya Mh.Godbless Lema. Jaji Mkuu,katika jopo...
12th May 2012
Benki ya Taifa ya Vijana inatarajiwa kuzinduliwa wakati wowote mwaka huu.
Uzinduzi utafanyika baada ya mchakato wa kufunguliwa kwa benki ya vijana ya taifa kuingia katika hatua...
Review of oil deals sends shock waves to investors
Tuesday, 18 September 2012 22:28
The Citizen Reporter
Dar es Salaam
The oil and gas sector was reeling in...
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini...
Tue Sep 18, 2012 6:42pm GMT
* Energy minister says PSAs will be respected
* Tanzania drafting a new gas policy
* East Africa a new hot spot in oil and gas exploration
By Fumbuka...
Katika hali ya kushangaza familia ya ndugu ally imelalamika kuwa imetalekezewa msiba kwani haijapewa msaada wowote toka chama cha demokrasia na maendeleo.
Wala taasisi yeyote ya serikali...
MWILI WA ALIAYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA WAWASILI MKOANI IRINGA KWA MAZISHI
Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula
Jeneza...
Hongereni viongozi wa Nchi hii kwa kuonesha ari zaidi za kufanya maisha yazidi kua magumu na hogereni sana kutumia nguvu zaidi kwa kuua watu na hogereni sana kwa kutumia kasi zaidi ya kuwanyima...
Wana JF
Kutokana na mpasuko uliopo katika chama cha mapinduzi ,umesababisha mpasuko mwingine ndani ya jumuia zake
Katika fununu inasemekana kuwa kambi mbili yaani ya lowasa na Membe...
17 September 2012
By Admin
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari walioathirika na mgomo Dr. Paul Swakala (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Na Datus Boniface...
Kiongozi yeyote alietokana na Rushwa basi sio rahisi kupigana au kuiondoa Rushwa katika Jamii..huo ndio ukweli ulivo sasa kua tunao viongozi eti wanasema watafanya juu chini juu waliondoe hili...
Awali ya yote, naomba ieleweke kwamba shughuli ya kujadili Mfanano/Ulingano na Tofauti baina ya TANU na CHADEMA ni shughuli ngumu sana kwani hakuna any proven methodlogy au analytical framework...
Jikumbushe hii enzi zile.
Naapa na ahidi mbele ya Chama nchi yangu nitakulinda mpaka kufa, naapa na ahidi mbele ya Chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa. Natoa hiyo ahadi kwa moyo mkunjufu...
1. MTIHANI KWA GNU.
Ulimwengu unataka kuangalia mabadiliko yoyote katika mienendo ya siasa za Zanzibar baada ya kuundwa mfumo mpya wa serikali. uchaguzi huu unaweza ukaleta taswira gani hasa vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.