Lema kuunguruma NMC Jtano

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
siku moja kabla ya rufaa ya Godbless Lema, kutakuwa na mkutano mktano mkubwa kwenye uwanja wa kujidai NMC utakao ongozwa na Lema, Joshua Nasari sambamba nauongozi wa mkoa arusha. wakati huo huo jeshi la polisi limeonekana kuingia kiwewe na kuanza kutishia kuuzuia mkutano huo bila kutoa sababu...
 
Hili la police kuingiwa na hofu ni yao tu kwani hata wasipoweka ulinzi wowote nawahakikishia ya kwmb hata inzi hafi hapo uwanjani!
Na tutakuwepo hapo uwanjani kama kawa!

Viva kamanda G. Lema!
 
Mkutano utafanyika kweli nmc maana wanajenga soko pale kwa sasa hivi.... Maandalizi ya kujenga uzio yameanza
siku moja kabla ya rufaa ya godbless lema, kutakuwa na mkutano mktano mkubwa kwenye uwanja wa kujidai nmc utakao ongozwa na lema, joshua nasari sambamba nauongozi wa mkoa arusha. Wakati huo huo jeshi la polisi limeonekana kuingia kiwewe na kuanza kutishia kuuzuia mkutano huo bila kutoa sababu...
 
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
 
Mkutano utafanyika kweli nmc maana wanajenga soko pale kwa sasa hivi.... Maandalizi ya kujenga uzio yameanza

mbona hakuna maamdalizi yoyote pale kinacho jengwa ni ule mtaro wa maji machafu unaoanzia soko kuu mpaka bwawa la mavi..
 
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
wacha ale kikwete kala ngapi yeye na mke wake na ridhiwani kama hujajisaidia kawahi
 
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.
halafu na wewe umeanza kujenga nyumba pale chanika kwa pesa ya kulipwa na nape kwa kumsaidia kuwa katibu mwenezi kwenye mitandao, inasemekana umetafuna pesa zaidi ya bilioni sabini
 
halafu na wewe umeanza kujenga nyumba pale chanika kwa pesa ya kulipwa na nape kwa kumsaidia kuwa katibu mwenezi kwenye mitandao, inasemekana umetafuna pesa zaidi ya bilioni sabini

ha haa haaa

pia ameota kitambi cha ubwabwa
 
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.

Ghetto lenyewe hili hapa

1125387-holiday-house-construction-site-in-a-cloudy-day.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom