vuguvugu la vijana wa CUF (BVC/VVC) lajadili Muungano serikali tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vuguvugu la vijana wa CUF (BVC/VVC) lajadili Muungano serikali tatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgongo wa paka, Mar 4, 2012.

 1. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kundi vijana wa cuf maarufu kwa vuguvugu la vijana wa cuf(BVC).linalofanya harakati zake kwenye mtandao wa facebook.sio jumuiya ya vijana cuf(juvicuf) limekuwa likiendelea ama endesha mjadala wa muuungano wa serikali tatu.habari zaidi kwenye fb ktk group hilo la baraza la vijana cuf(BVC)vuguvugu la vijana
   
 2. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hakika nimijadala yenye kuletea tija taifa ni swali lilo ulizwa na kijana maarufu kwa jina la costa mafie. Alilo litoa kwenye hadidu za cuf kuwa cuf itaunda serikali ndogo ya ya muuungano. Hili costa alitaka kujua kulikoni serikali ya muungano iwe ndogo
   
 3. s

  sisi agent Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hao cuf wasidai tatu tu pemba yetu ,ungujayao, na bara yao maana sisi huku pemba madui zetu wakubwa ni watu wa unguja siku zote iwe ccm na cuf wote hawatupendi kabisa ,na kumbuka sisi bora tanga karibu kuliko unguja hivyo pemba tuwe na serikali yetu karafuuu zetu zisiwatoe roho bure .
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  CUF kinasubiri tu kuzikwa
   
 5. d

  dandabo JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mkuu nakuunga mkono kabisa! Waunguja sio kabisa, ni bora tanga kuwa karibu na sisi kuliko hawa jamaa wanaojiona wako juu kuliko sisi
   
 6. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huu wote ni ujinga hatuongelei pemba au unguja . Tunaongelea tanganyika zanzibar na tanzania
   
 7. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huo ujinga na uzembe kusapoti vitu visivyo namsingi
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mnaijadili CUF ipi wakati tumeshaizika? Serikali tatu haziepukik
   
 9. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yas kweli is inevitable. Namna ukubwa waile serikali ya3 ambayo ni ya muungano. Cuf inaamini nakuhitaji serikali yamuuungano kuwa ndogo
   
 10. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  meizika cuf ipi mbona vijana sisi tupo tuna opporate cuf now tupo underground tunaendekea na harakati
  ninyi endeleeni kuzani cuf mmeizika
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,747
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..serikali ya MUUNGANO.

  ..halafu kuwe na serikali za Pemba,Unguja,na Tanganyika.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona mnataka kubadili hoja kwa mambo yasiyo na maana?

  Nafikiri vijana wa CUF wana hoja..tujadili muungano wa serikali tatu
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu
   
 14. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni uzuzu unao kusumbua nyinyi ndo mapandikizi yasiyo itakia tanzania mema
   
 15. L

  Losemo Senior Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thambi ya ubaguzi imeanza kutafuna watu hata kabla muungano haujavunjika. Tazama sasa ni Upemba na Uunguja. Kitakachofuata ni Uzanzibari na Uzanzibara. TUBUNI KABLA SIKU MBAYA HAZIJAFIKA
   
 16. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  punguani we
  p
   
 17. d

  dandabo JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  kwa mtazamo wako wewe unaona hayana msingi. Ila sisi wapemba choka mbaya tunaotegemea majahazi twende tanga kufanya biashara ili kulisha familia zetu tunajua tunachozungumza. Wanasiasa hatuwaamini tena!
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  uzuri kua hiki ni chama kishiriki.
   
 19. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  makubwa chama cha kishiriki
   
 20. a

  abu alfauzaan Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh!,kazi iwapo kweli!,
  kumbe waunguja maadui wa wapemba,
  hem mie nkae pembeni!,langu jicho 2,
   
Loading...