Robert Muhangwa amshambulia Mhe. Zitto Kabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Robert Muhangwa amshambulia Mhe. Zitto Kabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Sep 15, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa Makala ya hapo chini , Robert Muhangwa amebainisha kuwa Mhe. Zitto sio safi waal makini kihivyooo!!! Akichambua makala hiyo asubuhi ta leo katika Kipindi cha STARTV- Tuongee asubuhi, Muhangwa sema kuwa Zitto ameanza kupoteza uaminifu baada ya kumtetea aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco Bw. Muhando na baadae amezidi kupoteza baada ya zoezi lake la kukusanya kura 70 za wabunge ili kumwondoa Waziri Mkuu kukosa mashiko.......anafanya mambo ambayo anajua kuwa hayawezekani kikatiba na kisheria. "Kama ilivyo kwa kiongozi wa dini (askofu au sheikh,) Zitto kwanza anatakiwa moyo wake uwe safi kabla ya kuwachambua wenzake" amebainisha Muhangwa!


   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Makala ni ndefu kidogo kwani muda huu natumia mchina!. Fanya majumuisho (summary) plz
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Pumba tupu, huyo alikuwa ni mradi ajaze nafasi tu.
   
 4. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ebu tupatieni CV ya huyo Robert Mhangwa ili tujue tunakula nini...plz kama ipo!:coffee:
   
 5. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  wewe nia yako ilikuwa kupost hilo gazeti la zito na sio swala la muhangwa.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Robert Muhangwa ni nani au ni Joseph Mihangwa?
   
 7. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zitto una kazi kwelikweli mdogo wangu!
   
 8. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  T 2015 zzk
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Za Muhangwa au zitto ?
   
 10. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Yes we can !! Team ZZK...hope his age won't be an obstacle
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siku zitto akitoa maelezo ya namna gani amepata pesa za kununua hummer, kujenga gorofa kule mbezi, etc, ndipo nitaamini. kama hatatoa maelezo nitaamini yaliyosemwa na wengi hasa lile la kuhongwa bilioni kama tatu hivi kule kwenye kamati ya bunge na mengine mengi ambayo wengi wanasema ni kibaraka wa ccm kuichafua chadema...pia urafiki wake na kina jk hata kusafiri pamoja kwenda ethiopia, kwenda na makinda sri lanka etc, unatia mashaka kama atakuwa hakutumwa na mwenyekiti wa chadema afanye hivyo....atoe maelezo ya kutosha,...silence means yes!
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mleta mada.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Umepiga kura bububu wewe au wazee wa mahambia wamekutimua

  ImageUploadedByJamiiForums1347821412.701774.jpg
   
 14. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  akili ndogo ni ndogo tu..
  R.Muhambwa amekosa pa kushambulia,
  atafute saiz zake..ZZK ni kina kirefu acheni ubishi wa kitoto
   
 15. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  No, muhagwa. Kwa hili zito yuko sahihi! Kweli kabisa uchumi wa nchi hii unamilikiwa na mafisadi wachache.
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  No huyu ni Robert.....alikuwepo star tv jana......anajiita mchambuzi sijui wa nini.
   
 18. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Alishakana kuhusu hummer humu jukwaani, sijui mnataka afanye nini tena?!
  Yaani Zitto kwenda Srilanka kwa shughuli za kibunge hadi atumwe na Mbowe, u cant be serious dude!
   
 19. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Katiba mpya ndio jibu!!
   
 20. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Labda tumwuulize anavyopanda NDEGE na PRESIDENT KIKWETE Ina Maana na YEYE ana SHARE HUKO - USWISI ?

  Sababu Tanzania Nzima iliishi kwa GIZA bila Machafuko; Mpaka CCM ilipoingiza UDINI na UKABILA - YEYE Sasa YUKO KWENYE NDEGE

  NA MH. SPIKA Sri Lanka...

  [​IMG]
   
Loading...