Kwa uzoefu wangu: Wageni wengi wanainyooshea CCM vidole kwa mauaji na vurugu kuliko CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa uzoefu wangu: Wageni wengi wanainyooshea CCM vidole kwa mauaji na vurugu kuliko CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Sep 18, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kushangaza sana:kwani pamoja na ukimwa mwingi tuuonao ktk matukio ya mauaji na mateso yatokeayo kwa raia hasa katika mazingira ya kisiasa.Kwa vile taasisi hewa za tafiti nchini hazina nia wala fahamu kuwa kuna tabaka la watu ambao hisia zao zinahitajika kujulikana. Ili kupata taswira ya nchi fikra za dunia.Kwa pita pita yangu na makutano yangu na watu wa mataifa mengine,kuna vitu nimeona na kuvipima.

  1.wakisikia habari ama kuona kuona gazeti lina heading CHADEMA/CCM huwa wanatazama kwa makini sana.

  2.Na kila habari waisomayo huwa wanaitazama CDM katika mtazamo positive sana.

  3.Wanajitahidi sana kuficha hisia zao sana,ila wanafanya sana interview na watu wetu.

  4.Wengi wanaichuka sana CCM na police wetu.

  5. Wengi hawajui sana siasa za nchi(zaidi ya kujua kuwa ni mabaki ya socialism) wala imani za vyama ila wanajua kuwa CDM ni serious part na ni chaguo number one kwa vijana naraia wenye fikra makini.

  Mbali na haya hapo juu pia nimekuja gundua kuwa hawa jamaa wanafanya tafiti binafsi na za kitaasisi kuhusu maendeleo ya kisiasa, haki za binadamu na jitihada za kuondoa umasikini kwa umakimi sana.Maswali waulizayo yanalenga sana kujua hisia za mzawa, na maelezo kamili ya siasa za nchi,halafu wanamalizia hapo.

  Nimekuja ona kuwa viongozi wa Tanzania chini ya CCM si waelewa sana.Kama jinsi Dr. Slaa alivyotuma SMS na bado uelwa haukuwa mzuri kwa idara zote za usalama ktk nchi,ndivyo pia kauli za mataifa serikali haizielewi. Mfano..mgeni anapojaribu kusema "I think president Kikwete is doing a good Job".Si vigumu sana kuelewa ni wapi wana CCM walipata wazo kuwa "Rais anakubalika, rais ni mchapa kazi ila ni watendaji" na kutembea vifua mbele kuisema.So much programmable.

  Nimeona hisia zao kuhusu CDM pale wanapochati na mzawa kuhusu siasa na utamaduni hujaribu pima hisia za watu na wanapojiridhisha kuwa CDM ni chagu basi nao huelezea waliyoyasikia ktk magazeti ya hapa, na kutoka kwa wenzao waliopo nchini kwa muda mrefu, na hata mashirika ya kwao.Pia wanaongea umbea wakiwa katika faragha na hata hadharani.Ila hadharani huwa wanaongea kwa mafumbo sana bila kuonyesha hisia ila macho na msisitizo wa maneno unaficha hisia zao.Wana peana update sana ktk mailingi lists zao kuhusu matukio ya ujambazi,vifo na mahusiano yao na siasa,dini na tamaduni.Na wengine wakisikia wana CCM wakipiga blah blah za maendeleo na umakini wa president basi unaona majibu yao yanavyojaribu kuonyesha kuwa serikali si rais na hawataji alichofanya ila wanataja jitihada/majaribio.Jitihada/majaribio zina dhana isiyosema kiasi cha utendani ,kama ilivyo kutangaza nia bila kufanya jambo au kufanya kwa kiasi kidogo sana.Wengi ya niliokuwa nao baada ya kuwabana sana,walinieleza yale niliyokuwa nayo katika fikra.Yaani kwa vile Africa kuna viongozi wabovu,katili,corrupt na wenye ulafi wa hali juu.Kwao ni jambo jema sana kutafuta nchi na viongozi wenye afadhali na kuwapa moyo kadiri iwezekanvyo.Matumaini yakiwa pengine watageuka na kuwa viongozi wazuri na mfano kwa wengine katika siku za usoni.Balancing ya hii dhana bado haijaeleweka sana hata kwa rais mwenyewe ndio maana yupo busy kukimbilia nje akiwa na bakuli lake.

  Ni kipindi serikali ijue ni jinsi gani taarifa zao zipo kwa watu wa mataifa na fikra juu ya serikali.Hawa wageni wana live experience na polisi katika rushwa, msaada duni usio msaada wa polisi yaani polisi hawezi to maamuzi yanayojali muda na usalama wa huyu mgeni na masikini wa Tanzania wanaosubiri msaada, mlolongo wa kupata huduma za askari, uelewa mdogo wa askari pale wanapopewa maelezo ili watoe msaada, ukorofi wa polisi wanaopiga watuhumiwa vituoni na kuwavuta kama wanyama kwa sifa ili wageni wawaone kuwa wapo serious, na mengineyo.Wageni hawa wana wajua CDM na industry nzima ya utalii ina watu wenye mapenzi na CDM na wengi huwapa hata zawadi wageni wao mapambo ya CDM.Kwa serikali kuandika habari za upotoshaji ni kujipoteza kuaminika zaidi ya mengine.Yaani mechi polisi v/c CDM polis hawana vote, CCM/CDM ccm hawana point,labda viogozi wachache wanaweza pewa moyo.Wageni wa kiasia bado wana mitizamo mizuri kwa CCM.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hao wageni si wale wanaotoa misaada kwa CHADEMA, ulitegemea wakinyooshee kidole Chama wanachofadhili.
   
 3. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The recent gruesome murder of journalist, Daud Mwangosi, by the police, and the failure of the President to speak out against this incident and many others, indicate that there is a concerted effort by the government of Tanzania to suppress democracy, civil rights and the growing Movement for Change (M4C) in the country.
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  sidhani km south and north american wote, ulaya mataifa yote,waafrica wenzetu na sehemu za asia wote wanatoa misaada kwa chadema.Ni watu wa mataifa mengi sana.pengine hujatazama sana kwa makini na kuona kuwa sijaweka mataifa nilikutana nayo.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Heading yako inasomeka kwa "uzoefu wako" hujasema uzoefu katika nini, mauaji, umbea etc
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  ksome main body halafu uje tena upya.
   
 7. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Unataka walalamikie chadema kwa lipi? CHADEMA haliongozi nchi wala halina polisi na wala hakuna viongozi wake walioukumiwa kwa kosa la kuua! Sasa walaumiwe kwa lipi? Au unadhani nao pia ni washabiki kama waziri nchimbi?
   
 8. MchukiaUonevu

  MchukiaUonevu JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu hadithi yako haikidhi haisomeki..unasema "uzoefu wangu,haijulikani uzoefu kwenye nyanja gani,siasa,kampeni,utendaji,au mtaani..! Zaidi umeandika hadithi iliyokaa kishabiki,udaku na fitina. Mtu serious hawezi ku-rely kwenye information iliyokaa ki-kada,na kiudaku kama hii.

  Unabainisha kabisa kuwa walikuwa wanaongea umbea faragha,halafu unatuletea hapa kama habari,tukueleweje zaidi ya kuita habari yako nayo ni umbea wa faragha mkiwa kwenye vikao vyenu!!

  Toa facts,umekutana na nani,nchi gani,mashirika,NGO's,taasisi,wapi,katika mazingira gani. Kama mchangiaji alivyokujibu,kama machom na masikio yako yalikuwa kwa wale wanaowafadhili,huwezi kuwa na mtazamo tofauti na huu. Kwa hiyo ndugu,nenda kajipange,relax,and come here with fresh mind utueleze ulichokusudia,hii uliyoleta ni porojo!
   
 9. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Yaani ww huwa unakurupuka tu kutolea hoja majibu bila kuisoma na kuielewa. Nadhani hicho kichwa chako kinahitaji kuwa formatted mapema lasivyo unaweza leta madhara jamvini.
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Haisomeki au huelewi?sishangai kutolewa kwako.Uzoefu ni "Experience" experience kwa kiasi inagusa hisia,observations etc mtu alizokuwa akizipata within a slot of time in a given environmet.

  kama unadhani na udaku basi upotezee otherwise wewe ndio ulipaswa thibitisha wapi umeona hakun au kweli.
  Nimetumia figuritive term ili watu kama nyingi mnaopenda hesabu neno hadi neno huku mkikosa bigger picture na concepts ndani yake mtaingia jumla jumla.Kwani "umbea" jinsi nilivyoutumia umeulewa vipi?hapa watu wanateta na si lazima wawe wanaongea uongo,ila wanaongea ili wewe na mimi tusisikie.Ila mmoja wao anaweza kuambia siku ingine kwamba kuna siku walikuwa wakiongea story iliyokuwa ikihusu jambo maja ama jingine na kati yao fulani alisema nini na mwingine nini.

  Povu la nini sasa?instead wewe ndiye nikutake ulite facts kwa vile unkomaa kudai vikao vyenu ulikuwepo?Au wewe ndio mmojawapo wa hawa wapuuzi.
  Fact zote za nini sasa?wewe unataka exactly kwani unataka mhukumu nani?Problem ni kwamba umeongea kwa authority as if nahitaji your approval.Kiasi fulanni unataka tuonyesha nini?mimi naweza tafsiri unataka nionyesha jinsi akili yako kichwa uantumia ktk kuotesha nyewe na kufanya basic body functions.research is money na si lazima umpe mtu all the details.Au nikuletee hadi graphs nilizokuwa nikichora?umelipia pesa.Sasa ningekuwa kijiweni kwako penye wahuni wakuonao na wewe unajua sana pengine mngenipiga mawe kwa kitu nilichoobserve na kutest.Internet id an enemy of the closed minded people, hawawezi nyamazisha wanaoongea wasichopenda sikia

  Mchangiaji ana matatizo kama yako, ni wa jinsi ya wale wailaaniyo facebook na you tube ila masaa yoyote wapo busy kujitangaza na kujaza uchafu.Hamjui kuwa hamjui kitu.

  Maswali mengine mmeyazoea hadi mmekuwa dhaifu sana.kama wale wasemao weka picture,bila kujua kuna sehe mu picture ulizipiga kupitia macho na hivyo huwezi zihamisha.
   
Loading...