Mwigulu aendelea kufunika Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Koffie, Sep 13, 2012.

 1. K

  Koffie JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wamenda kucheza disco na kula ubwabwa.
   
 3. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kujichekesha chekesha hakupunguzi maumivu ya jino.

  Ukweli unaujua na unaitambua CDM. You just stay tuned, we will get to you soon!
  Au mnasubiri njaa ndio mtangaze uchaguzi ili mgawe tena chakula?
   
 4. K

  Koffie JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jipe moyo tu
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata mimi ningekuwepo ningekwenda, nani hataki fulana ya bure na kafia?

  Ila ukweli unaujua.
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  anatapatapa huyo,..alikuwa campaign manager na jimbo limemponyoka,kama wana uhakika na rufaa waliyokata kampeni za nini?wasubiri aibu kwenye uchaguzi,..this time hakuna kugawa mahindi wala ahadi za majuha kama magufuli za madaraja...
   
 7. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama kawaida ya magamba, wali nyama, muziki kwa kwenda mbele. Kula CCM, kura CHADEMA. M4C!
   
 8. K

  Koffie JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  igunga1.jpg ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,
   
 10. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yakhe umenikumbusha mbali. Hivi ndio huyu aliewavika khanga na kuwabandua eeh?

  Ila kwa maslahi ya chama, watakaa kimya. 'Kwani ina mita ile', yatakuwa ndio maneno yao ya kujifariji. Dhiki mbaya wee!
   
 11. papason

  papason JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Koffie!

  Wee subiri M4C itakapotembelea hiyi mitaa uone tutakavyo mchana na kumchakaza huyo kibaraka wako!
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mtu anaemsikiliza mwigulu Nchemba na kumwelewa basi akili yake si nzuri lazima nae ukifuatilia aliishawahi pitia mirembe ama hosp ya vichaa
   
 13. K

  Koffie JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 14. K

  Koffie JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu utasubiri sana
   
 15. papason

  papason JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Na wewe utawafagilia sana mafisadi adi siku unaenda kaburin!
   
 16. M

  Makaayamawedili Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesahau nakuchukua maua ya watu
   
 17. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Waambie wana Igunga wakipewa hela na hao mafisadi wasisite kuzichukua. Kisha wawasubiri kwenye sanduku la kura wawaoneshe kuwa wajinga ndio waliwao.
   
 18. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Na hayo mengine je? Wenyewe wanakusikia kwani 2015 si mbali!!!!!!!!!!! Nadhani hatua hiyo ni sawa na kupiga jalamba tu
   
 19. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ukiona mtu yuko sisimu nyakati hzi ujue ni mweu au ni mzee sana ambao akili yao ni ile ya vichanga kula elf 3 tofauti xaxa
   
 20. g

  godliving Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao ni wakununuliwa sisi M4C hatuna presha kuku wako mwenyewe wa nn kumshikia manati
   
Loading...