129m Zapatikana matembezi ya CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

129m Zapatikana matembezi ya CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CUF Ngangari, Sep 16, 2012.

 1. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akiongea baada ya makabwela kuchangia kwa papo kwa papo na kutuma kupitia M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, A/C YA BANK ya NBC, prof i. h. Lipumba amesema watanzania waendelee kuchangia chama chao chama cha wanainchi. ambapo matembezi hayo yataendelea Arusha.
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kuchangia cuf ni kuichangia ccm
   
 3. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,197
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Akiwasikia nape!
   
 4. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,709
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Au na hizi ni mbinu za kuingiza fedha za nje?
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hivi CUF 'inafight' nini?
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hii mbinu mpya ya vyama vya upinzani kuwahadaa wananchi kuitisha harambee za kisanii
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,756
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Tawala wao hufanya nini?
   
 8. Y

  Yussuph idrissa Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanaiba
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,170
  Likes Received: 7,348
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo cuf hiyo pesa wanapeleka wapi au anamhonga bwanake!
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kabla ya kuchangia Lipumba atuambie kibindoni 'WANA MTAJI WA KIASI GANI KUFANYIA MATEMBEZI YA KUIMARISHA NDOA?
   
 11. I

  IBRAAH Senior Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kabisaaa mkuu upo sahihi.
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,361
  Likes Received: 7,859
  Trophy Points: 280
  haya CCM nayo itaanza kuchangisha hela
   
 13. I

  IBRAAH Senior Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inataka kuimarisha ndoa.haitaki kuwa golikipa.huenda mme kaanza kumsimanga hivyo anaamua kujibidiisha.
   
 14. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,197
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  daa cuf imekosa nn?
   
 15. I

  IBRAAH Senior Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inataka kuimarisha ndoa.imechoka kuwa golikipa huenda mme wake ameanza kumsimanga kwanin amekaa tu.kwahiyo imeamua kujibidisha.
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,170
  Likes Received: 7,348
  Trophy Points: 280
  uzalendo maana ni wanafiki.
   
 17. I

  IBRAAH Senior Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ilianza sikunying sema wao wanatumia makampuni ya sim.utakuta wanatuma tu sms zao bila hata kujua mwanachama wao au la.nilichukia sana siku nilipo pata sms zao kufungua nakuta wakolon weus(ccm) wanataka niwachangie
   
 18. j

  joyous Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  wanatafuta ili wakipewa talaka waweze kuhimili misukosuko! ila kweli copy n paste kutoka cdm! ngoja tuwaone watakavyokwenda mikoani hasaa pembezoni, itakuwaje! nguvu ya sayona!
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  CCM wanachangiana..Loh CDM inawapeleka puta hivi vyama shirika balaa..
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,572
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ..kwa muda CUF wamekuwa wanapata ruzuku kubwa sana lakini hawajaitumia vizuri kusambaza chama chao huku Tanganyika. tusubiri tuone kama this time watakuwa efficient and strategic zaidi ktk matumizi ya ruzuku na hii michango wanayopata.
   
Loading...