Kilio kikubwa mashule ni ukosefu wa vitabu, watoto wamekuwa wakisoma kwa shida kutoka na vitabu vya kuchangia au kutokuwepo vituba kabisa,wakati huo huo, vinaibuka tuhuma kwamba viongozi wa...
Heche avuta umati.
Chadema imepiga hodi Sumbawanga jana na kuanza kambi rasmi ya kutetea jimbo lililochukuliwa kwa mizengwa na CCM kisha kunyang'anywa na mhimili wa Mahakama nchini. Jimbo liko...
Malawian Foreign Affairs Minister Ephraim Nganda Chiume, on Thursday led a team of government officials on a tour of the border district of Karonga to assure people of their safety amid...
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo. Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo...
ZZK, mwaka 2010 na baadae mwaka huu 2012 umetangaza nia ya kugombea urais ifikapo 2015, sio jambo baya. Lakini nina maswali yafuatayo:
[*=1]Je ni kwa nini mwaka 2010 wakati wa kampeni, chama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa ufafanuzi kwa umma kwamba pamoja na kauli ya Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya kusudio la kuwasilisha ripoti...
Ameanguka na kupelekwa hospitali alipokuwa akihesabu kura zake za uenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi. Hadi anaanguka inasemekana alikuwa na kura 100 dhidi ya kura 500 za mpinzani wake, Mtopa. Matokeo...
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa...
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza...
Hii haijakaa sawa kichwani mwangu. Mbunge anapochunguzwa na kamati inayoongozwa na Wabunge wenzake kwa tuhuma za rushwa inawezekana kweli kamati hiyo kufanyakazi zake kwa uhuru?
Sijui wengine...
Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE leo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia amesema anao uwezo wa kuongoza nchi, anao uzalendo kwa nchi yake na anao uwezo wa kuwa amri...
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema...
Kutokana na udhaifu mkubwa wa wabunge wa enzi zote toka CCM kwa jimbo hili kunakosababisha majanga kwa wakazi wa jimbo la Chalinze kuna dalili zote CHADEMA kuchukua jimbo. Kuna mikakati mikali ya...
Ni afadhari kuumbwa mwili wote kuwa mgongo kuliko kuwa tegemezi kifikra na kimawazo kwani kwako ubongo hauna maana.Ndivyo unavyoweza kuutumia msemo huu kuelezea hali ilivyo ndani ya...
Kama kuna kitu kinakera ni kuona watu wakitaka CCM iwe Manusura wa kimbunga cha mabadiliko ya kisiasa na kijamii kinachovuma nchini. Watu hao bila kujijua au kwa makusudi au kwa kusukumwa na hofu...
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI...
Kama kichwa cha habari kina husika muda huu kipindi cha kidokezo radio imaana ndio kimeanza na mwana JF Mohamed Said ndio mgeni rasmi akichambua historia ya wagombea uhuru
Ameanza kuzungumzia...
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amenusurika kipigo baada ya kutuhumiwa kuvuruga uchaguzi wa mkoa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) akidaiwa kutaka kumpitisha mmoja wa wagombea...
Waandishi Wetu Toleo la 262 10 Oct 2012
Bodi ya Jenerali Mbona yatishia kujiuzulu
Bandari nako si shwari, mengine yafichuka
WAKATI Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara...
Jana ulifanyika Mkutano baina ya Makamu Mkuu wa Chuo-UDSM almaarufu kama VC,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara na wafanyakazi wote wa chuo hicho. Washiriki,ambao ni wafanyakazi,walitoa hoja mbalimbali...