Godbless Lema anapendwa jamani. Kaeni msikie tu,wengine tumejionea. Jana nilishindwa kuhudhuria kwenye kesi ya mteja wangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.Nilijikuta nimefika viunga vya Mahakama...
Wanajamii mida hii naona yume mwanachama mfu wa CCM, Dr. Xavery Lwaitama yupo Runingani anamwaga cheche mfuatilieni kwani huwa ana hoja nzuri zenye mlengo wa fikra mbadala.
Kila Mtanzania anajiuliza ni kwa nini Rais Kikwete na CCM wanadharauliwa? Hauwezi kumtaja Kikwete bila kuitaja CCM, na pia hauwezi kuitaja CCM bila kumtaja Kikwete kwa sababu, CCM ndiye mamake...
Na Elizabeth Mjatta | Mtanzania | Ijumaa, Octoba 05, 2012
SERIKALI ya Ujerumani imetoa msaada wa Sh bilioni 357 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kutatua tatizo la...
Katika kile kinachoonekana kwa wananchi kuipokea nguvu ya mabadiliko kwa hamasa kubwa, wanakijiji 150 wa kijiji cha Mnavira Masasi wamejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Ningekuwa mimi ni JK, ningeachana hiyo kazi ya akina Marehemu Matonya huko marekani na Canada, na badala yake ningekwenda moja kwa moja Uswisi nikapige kambi pale na kuongea na mamlaka ya Benki...
Katika Mchakato wa kutoa maoni juu ya katiba wachangiaji wengi wameonyesha kuelemea pande mbili kuu! Waislamu wanapendekeza katiba itakayo ruhusu OIC, Mahakama ya Kadhi na Hijabu huku wenzao...
Wadau asalam aleykum?
Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.
Nasema hivi...
Katika kumbukumbu zangu kama sikosei baba wa taifa,marehemu mwalimu Nyerere,aliwahi kusema kwamba"... ccm si mama yangu..".Bila shaka kauli hii ya baba wa taifa ilimanisha kuwa, hatasita kujitoa...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wananzengo wetu huko Shy leo kulikuwa na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani, sasa tunaomba picha na taarifa ya jinsi mambo yalivyojili huko.
Hii ndiyo ilikuwa post yangu fb August 10,kufuatia matamko makali ya LOWASA NA SITTA JUU YA MGOGORO WA ZIWA NYASA,hapo KIKWETE alikuwa hajajitokeza kuwahakikishia WAMALAWI kwamba hakuna vita na...
Katika hekaheka za safisha jiji leo arusha bado Manispal ya mjini hapa wakiendelea kuwaondoa wale wote wanaofanya biashara maeneo ya barabarani, leo nilikutana nao wakiwa wanaviondoa vibanda...
Baada ya tuhuma za Rushwa dhidi ya wabunge wa Bunge la 10, Spika aliunda tume ya maadili chini ya General Ngwilizi kuchunguza tuhuma hizo. Kuna tetesi, report imekamilika, hata halmashauri kuu ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kinatarajiwa kuzindua kampeni za udiwani wa Kata ya Mawaza.Mgombea wa CDM ni ndugu Anthony Peter Mhola.
CDM ina nguvu kubwa hapa Shinyanga na haitarajiwi CCM...
MIAKA michache iliyopita niliandika makala ndefu sana nikiwashauri Watanzania wenzangu waliokuwa wanapigania sana vyama viungane ili kuwa na upinzani dhidi ya chama tawala na hatimaye...
UNAFIKI HUU WA WANASIASA WETU HADI LINI?
Mwaka 2008, baada ya kuibuka kwa kashfa ya kampuni hewa ya richmond, watanzania tuliamini kuwa ukombozi wa kweli umepatikana kwani wabunge wengi...
Najua wakati mwingine ni vigumu kueleweka kwa watu wenye mihemko ya kihisia.Lakini wacha niseme hili ninaloamini ni sahihi.Sote tunajua namna Tanzania ilivyo leo,tuna changamoto nyingi kiasi...
RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon na kujadili pamoja na mambo mengine, mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi.
Taarifa iliyotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.