Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Deogratias Munishi ameiangushia kombora kali serikali ya Tanzania mbele ya Chancela wa Ujerumani Angela Merkel alipokua akihutubia mkutano mkuu...
Misa ya Maziko ya Kardinali Rugambwa inaendelea katika kanisa la Kashozi nje ya mji wa Bukoba, baada ya misa yatafuata maandamano kuelekea kanisa Kuu la Bukoba yatakapofanyika maziko rasmi.
Misa...
Mkutano unaendelea hapa na kamanda Mbowe Ndio anaendelea
--
Mgombea wa kata ya Nanjara Rea, Rombo (ndugu Francis Alfred Salakana) akisalimianana Mhe. Mbowe
chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kitengo cha bavicha wilaya ya tabora kimefanya mkutano wa hadhara eneo la kata ya mbugani, uliongozwa na makamanda kutoka chuo cha saut tabora .mkutano...
Na Evarist Chahali - Uskochi | Raia Mwema | Toleo la 261 | 3 Oct 2012
NIMEKUWA nikiulizwa swali hili takriban kila wiki baada ya makala zangu kuchapishwa katika jarida hili maridhawa: Hivi kuna...
Tarehe 4 Oktoba 2012 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara amezungumza na vyombo vya habari kueleza kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Taifa ya Vijana. Waziri ameeleza...
Iwe isiwe, kuna malalamiko mengine mengi ya upinzani yana ukweli ndani yake.
Nasema hili kwa kuwa nimeshuhudia dhuluma zinazofanywa na Serikali kwa macho yangu. Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Kuna...
Katika kile kinachoaminika kuwa niunyanyasaji unaosababishwa na chuki za kisiasa machinga jijini arusha pamoja na wamama wauza mboga wameendelea kukamatwa na kutoswa faini ya sh5000 halihiyo...
Wiki iliyopita nikiwa ndani ya basi la kutoka Tabora kuja Dar basi lilisimama kama dakika 40 hivi kwenye mpaka wa Tabora na Singida ili kupisha makabidhiano ya mwenge wa uhuru hivyo kusababisha...
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana...
Kwa nyakati tofauti Wakazi wa Arumeru Mashariki wameskitishwa kwa Watuhumiwa wa Mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA kutoroka polisi,mzee mmoja kada maarufu wa CCM aliyejitambulisha kwa jina moja la...
Wakuu habari za leo!
Napenda kumjulisha Mh.Waziri wetu wa Maliasili kuwa Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za...
Malawi President Joyce Banda on Monday met leaders of various political parties at Sanjika Palace in Blantyre in second round of consultative meeting on the border wrangle with Tanzania, Nyasa...
Ndiyo wakuu! Msafara wa Mbunge kivuli jimbo geita na katibu wa cdm wilaya geita ndo unakaribia eneo la kuzindulia kampeni. Zaidi nitakuwa nina wajuza yanayo jili. Kwa pamoja tutashinda kwa...
Wazee nimepata taarifa kutoka mbeya ambako waheshimiwa walikuwa wanatoa sadaka ya shukrani kwa mungu kutokana na maswahibu yaliyowakuta. Walikwenda na riport za ugonjwa wao uliokuwa unawasumbua...
...Kwangu mimi hii ni taarifa nzuri kusikia kuwa Mama Kilango ameanza kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa UWT...hii ni habari nzuri kwasababu,Anna Kilango Malecela ni mpinzani mkubwa wa Sophia...
Rais Kikwete akipanda mti katika bustani ya Jumba la Rideau Hall jijini Ottawa katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Canada huku akishuhudiwa na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe David...
Majibu ya Rais Kikwete huko Canada kama yalivyokopiwa toka IPP Media
"Alipoulizwa kwa nini Serikali yake haionyeshi uchangamfu mkubwa kuhusu ujenzi wa barabara ya lami kupitia Kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.