Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI NIKIENDA KUFANYA SHOW/CONCERT MAREKANI NAKATWA KODI NA SERIKALI YAO...
 
ameongea point ya maana sana aisee...mtu anakuja kubeba milioni mia kadhaa ndani ya usiku mmoja kisha atuachii ata shilingi kumi!!?
Tatizo hii biashara ya burudani watu wanaichukulia ivo ivo kiburudani burudani.
Wasanii wetu nao wanachofulaia kwenda kumshuudia RickRoss kwa karibu,yani ata wapewe laki poa tu..ili mradi watapiga picha na rickross,mwenzao akimaliza show anakunja mamilioni yake anasepa wao wanarudi mtaani kuilalamikia serikali haiwajali..ngoja ninyamaze zangu wasije sema vinega hao wameanza mambo yao.
 
Rick ross charges usd 120,000 as per east african rate... (Pitia google for more details, so hapa tz ameramba million kama mia mbili)
 
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI NIKIENDA KUFANYA SHOW/CONCERT MAREKANI NAKATWA KODI NA SERIKALI YAO...

Hapa ni sawa na ku-compare maembe na machungwa. Tanzania siyo Marekani. Halafu usishangae Rick Ross keshalipwa in full mshiko wake kabla hajatia mguu Bongo kupitia transactions za benki za Marekani.

Isitoshe bila shaka Rick Ross atalipa kodi ya mapato ya Marekani kutokana na hii concert, jee Sugu alishawahi kulipa "kodi ya taifa letu" baada ya kufanya show Marekani?
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
 
Kodi ni kodi tu hata kama mtu anafanya show kwenye disco vumbi kodi inapaswa kulipwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapa ni sawa na ku-compare maembe na machungwa. Tanzania siyo Marekani. Halafu usishangae Rick Ross keshalipwa in full mshiko wake kabla hajatia mguu Bongo kupitia transactions za benki za Marekani.

Isitoshe bila shaka Rick Ross atalipa kodi ya mapato ya Marekani kutokana na hii concert, jee Sugu alishawahi kulipa "kodi ya taifa letu" baada ya kufanya show Marekani?

pumba+
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .

Au siyo mkuu? Maharage kwa mahindi wapi kwa wapi? Sugu atuonyeshe alipolipa "kodi kwa taifa letu" kutokana na show zake za Bongo, achilia mbali zile anazodai kufanya Marekani.
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .

hamna wivu hapa,ishu ni kodi inapaswa alipe kodi sababu anafanya biashara tena ya pesa ndefu...nyie nendeni kufurahia kumuona rikross,hamjakatazwa lakini anatakiwa atuachie chetu...
Asipoongea Mr 2 ataongea nani???otherwise utuambie anaongea mambo yasiyo na msingi kwa taifa.
 
vilaza kama nyie mnapaswa muelimishwe kuhusu entertainment business...taifa linapoteza mapato mengi sana sababu ya watu wanaochukulia poa hii bizness kama wewe.

Shilingi ngapi zimepotea katika mwaka uliopita wa fedha?
Umeshawahi kumsikia Sugu anazungumzia elimu? yeye ni disko na fiesta kila siku!!!
 
Sugu ni waziri kivuli wa michezo na burudani..ulitakaje mkuu???wewe ulishaskia Magufuli anazunguzia elimu??yeye ni mabarabara tu kila siku!!umeona eeh!!....yani jinsi ulivyo kitunguu wewe unamjadili Sugu badala ya kujadili alichokisema Sugu.
 
Back
Top Bottom