Uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeelezwa kuwa utabiri mwema kwa chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 kutokana na kuingiza sura mpya huku vigogo wakibwagwa...
Nimesikia kupitia uchambuzi wa magazeti kwamba Mjane wa Marehemu Daud Mwangosi analilia rambirambi alizoahidiwa na Dr. Slaa kwenye msiba wa mme wake. Anwalilia waandishi wamsaidie kupata hizo...
Wakati wa utawala mwalimu Julius Nyerere urais ulikuwa cheo cha kutisha na kuheshimika. Kila alipokwenda hasa kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Uingereza na Uchina alipokelewa na wakuu...
Wanyasa wanapatikana pande zote mbili yaani Malawi kwa upande mmoja na Tanzania kwa upande wa wapili. Marcus kutoka asasi za kiraia akizungumza ndani ya kipindi cha tuongee asububi star Tv amesema...
Kwa sasa, tatizo moja sugu barani Afrika ni ukoloni mamboleo ambao ulianza rasmi katika miaka ya 80. Hii haina maana kuwa ukoloni huo kabla ya miaka hiyo haukuwepo la hasha. Msingi wa ukoloni...
Itakumbukwa tarehe 01/01/2012 tuliompoteza Diwani wa kata ya Mtibwa kupitia CDM wilaya ya Mvomero Tuso Mwakyoma kutokana na kupigwa kisu na mpenzi wake! Sasa kesho kampeni ndio zinaanza rasmi hapo...
VIGOGO watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wako nchini Marekani, Tanzania Daima Jumatano limebaini.
Uwepo wa vigogo hao Marekani kwa wakati mmoja, umeibua gumzo nchini hususan kwa mitandao...
Na Mariam Mziwanda | Majira | Oktoba 05, 2012
WAZIRI wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, amewabeza watu wanaokosoa juhudi anazozichukua ili kuboresha miradi na taasisi za Wizara yake akidai...
Ujerumani Yaipa Tanzania Shilingi bilioni 352 Kusaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha...
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama...
kwa taarifa nimezisikia sasa hivi kutoka ITV nyumba zaidi ya 116 zimebomolewa tunaomba walio karibu watu taarifa kamili maana nasikia wananchi walio kuwa wanazuia wamekamatwa na polisi lakini cha...
Mnamo mwaka 1992, rasmi Taifa letu liliingia katika Mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Inaelezwa kwamba Mfumo huu haukuwa chaguo la Wananchi waliowengi (80% ya idadi ya watanzania waliohojiwa miaka...
· Yadaiwa ana Ushawishi Mkubwa katika Maamuzi ya Chama
· Wakati mwingine kwa Utashi hata kuliko Kanuni na Maadili ya Uongozi
· Wanaoitwa Pandikizi wadai hofu ni Urais 2015
·...
Ni wazi kuwa kauli ya kuwa CCM ni chama kilichokomaa zimekuwa zikitolewa kila uchao na makada wake. Baadhi ya watu walio wengi wamekuwa wakiubeba usemi huo kama ulivyo na bila ya kuufanyia utafiti...
ALIYEKUWA Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa Jimbo la Tanga, Omari Nundu, amebwagwa kwenye kinyanganyiro cha ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC). Katika uchaguzi huo, Nundu aliambulia kura 127...
chadema tabora kesho tutaendelea na operation sangara zindua tabora iliyoanza mwezi wa nne mwaka huu wa 2012,makamanda wote tuombeeni na harakati ili 2pate taifa lililo la kweli.na kesho tupo kata...
Kanzi kamedondosha habari eti baada ya kushindwa uchaguzi wa NEC-CCM hatimaye Sumayi anataka kuingia CDM. Kujiunga na chama cha siasa ni haki ya kikatiba ya kila raia wa TZ. Ila kujiunga na CDM...
kupitia taarifa ya habari iliyorushwa na kituo cha ITV nimemsikia Mbunge huyo akitoa maneno yafuatayo ktk harakati zake za kuomba kura kwa wanaCCM ktk ngazi ya uenyekiti anayoigombea.Namnukuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.