karibuni sana watanzania wote:-
chadema, peoplesss power. Tuungeni mkono, tuchagueni, tupeni fursa muone tukishindwa tupigeni chini. Tusije laumu kwa mara nyingine maisha magumu wakati falsafa...
Wadau Habari zenu!
Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za uwindaji kufuatwa rejea Wilaya za Monduli na...
1.Tension Over Kenya's New Mega Port at Lamu
The construction of Lamu Port in Kenya has been officially launched by Kenya's President Mwai Kibaki, South Sudan's President Salva...
Baada ya kuanza kwa chaguzi hizi za CCM naona kunamwelekeo wa kuibuka ugomvi mkubwa kati vigogo wawili wakubwa wote wakiwa wamekwisha ukwa u PM nchini kwetu. Vyombo vya habari viliandika...
Vurugu kubwa zimeibuka katika uchaguzi wa kuwania nafasi ya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu Taifa uliofanyika jana katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam baada ya wapambe wa wagombea wawili...
Matokeo ndio yamemaliza kutolewa Mama Nagu kapata kura mia sita na alobaini na mh waziri mkuu mstaafu na mgombea urais mtarajiwa kapata kura mia nne ishirini.
TAKUKURU yawafuata Sumaye, Nagu...
....Katika kile kinachoonekana kama ni kuanza kwa mbio za uenyekiti wa UWT kati ya wagombea wakubwa wawili yaani Bi Anne Kilango na Bi Sophia Simba hali imeanza kuwa mbaya kwa Bi Anne Kilango...
M4C YATUA NYUMBANI KWA OLE SENDEKA HUKO TERATI SIMANJIRO
Jackson Makala na James Olle Millya
Wananchi wakigombea kadi kutoka kwa Lema
Kwenye mkutano
HII ILIKUWA JANA
Uchaguzi wa UWT mkoa wa manyara umefanyika leo mkoani babati. Dr Mary Nagu amebwagwa na Martha umbula waliokuwa wanawania nafasi ya Ujumbe wa baraza Kuu la UWT Taifa.
Habari hii nimeichukua ktk facebook wall ya mchungaji Peter Msigwa na nimecopy na kupaste.
Mjane wa Mwangosi amekanusha vikali habari zilizochapishwa na gazeti la habari Leo kuwa eti yeye alilia...
Former President of the United Republic of Tanzania, Ali Hassan Mwinyi who is currently in the country to attend the National Islamic Ijitima prayers visited Mai Halima Girls Secondary School...
Katika mpira wa miguu kombinesheni ya wachezaji ni muhimu sana katika kuleta ushindi. Fomesheni, nidhamu na uwezo wa wachezaji ni baadhi ya mambo ya ziada.
Kwa washabiki wa mpira wa miguu...
Kwenye mijadala 100 ya kwenye jukwaa hili amini usiamini mijadala 98 ndani yake halikosi kutajwa jina la Edward Lowassa kwa mema, mabaya kwa kuungwa mkono au kwa kupingwa. Lowassa imethibitika...
Wakati wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kutafakari kubwagwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, katika kinyang'anyiro cha ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
source press tv
serikali ya iran imejitolea madaktari 1000 kuja nchini tanzania na hawatalipwa chochote hadi hapo mgomo utakapopata suluhisho na iran imesema yenyewe imepiga hatua sana kwenye...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) aliyesimamishwa kazi, William Mhando, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kuondolewa bila kusomewa shtaka.
Mhando...
Muda huu ukumbi wa mahakama umefunguliwa, watu wamejaa ndani ya ukumbi.
Lissu ameshawasili, anasalimiana kwa kukumbatiana na Alute.
Tutawajuza kila kinachojiri
MORE UPDATES:
- Bado ukumbi...
Raisi Kikwete aliusaka uraisi tangia mwaka 1995 mpaka alipoupata mwaka 2005. Raisi Kikwete akiwa kwenye harakati za kuusaka huu uraisi alijenga makundi nadani na nje ya chama chake ili kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.