Mbunge anapochunguzwa na mbunge mwenzake kwa tuhuma za rushwa...

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Hii haijakaa sawa kichwani mwangu. Mbunge anapochunguzwa na kamati inayoongozwa na Wabunge wenzake kwa tuhuma za rushwa inawezekana kweli kamati hiyo kufanyakazi zake kwa uhuru?

Sijui wengine mnalionaje hili? Je kuna haja ya Katiba Mpya kuliangalia hili?. Nini mapendekezo yako?
 
Kwa hali halisi iliyopo nchini hawawezi kumuangamiza unless kama wako kambi tofauti zinazotawaliwa na visasi. Otherwise is nothing there.
 
Chezea hao jamaa wewe, once it comes to something wote wana interest ya kupata kitu, lao moja
 
Simba hamuwindi simba mwenzie bali hufukuzana tu kama sehemu ya mchezo wa porini!
 
Back
Top Bottom