Wadau niambieni chanzo cha vitu vy mitumba,mbona nina wasiwasi sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau niambieni chanzo cha vitu vy mitumba,mbona nina wasiwasi sana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapya, Oct 12, 2012.

 1. k

  kapya Senior Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf hebu naomba mniambie chanzo cha hizi nguo(au vitu vya mitumba) za mitumba na athari zake kiafya,kiuchumi na kimazingira.maana natumia nguo na vitu vingine bila kujua vinatoka wapi.
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,965
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mkuu kapya. vitu vyote vya mtumba zamani vilikuwa vinaitwa "kafa ulaya mazishi afrika". yaan wenye navyo wamekufa huko ulaya sasa vitu vyao vinaletwa afrika ili vitumike huku. tafakari, chukua hatua.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,757
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama nguo ni mbaya sana kama Electronics na electrical appliances kama fridge na A/C.ndizo zina vitu visivyooza kwa haraka huku vikiwa na sumu kali sana kwa hali ya hewa na ardhini.

  Mitumba kama rangi zilizotumika si issue au si plastic basi huweza oza haraka sana na kuacha mbolea tuu.
   
 4. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 10,739
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  Once upon a time Europe was overfed, over clothed at Africa's expense, mambo taratibu yanabadilika. No more suti za marehemu John. We shall soon be drinking quality Tesco gold freeze dried coffee(our very own coffee by the way) as we bicker over hottest topic in town - decline and fall of Europe.
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 1,830
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  jibu ninalo ila nitaliweka hapa once hii thread ikipelekwa jukwaa husika probably 'jukwaa la habari mchanganyiko' maana sio political issue
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  nguo hazina mashaka hata huku wenyewe wanazitumia
  wapo watu wazitoa hizo nguo kwa ajili ya nchi za afrika
  na hazipaswi kuuzwa bali kutolewa bure lakini kwa njaa za wachache tunauziwa
  vifaa vingine kama eletronics hasa fridge kuweni nazo makini
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,073
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 145
  usijali mkuu mitumba iko sehemu zote dunian,hakuna nchi ambayo hakuna mitumba,mitumba inasaidia watu ambao hawana uwezo wa kupata kitu kikiwa kipya
   
Loading...