Mhe. Shy-Rose Bhanji: Amuunga mkono J.Mnyika kuhusu udhaifu wa Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Shy-Rose Bhanji: Amuunga mkono J.Mnyika kuhusu udhaifu wa Rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwitaz, Jun 21, 2012.

 1. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hayawi hayawi huwa!
  Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa www.facebook.com amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali
  hawakumuelewa Mnyika
  Bungeni. Kwani si kweli
  kuwa binadamu wote tuna
  udhaifu?!"

  Msemo huu unathibitisha kuwa:-

  1. Rais ni dhaifu
  2. Waziri Mkuu ni dhaifu; jambo Zitto Kabwe alithibitisha zamani.
  3. Mawaziri na manaibu wao ni dhaifu
  4. Wakurugenzi ni dhaifu
  5. Ma-DC ni dhaifu
  6.
  7.
  8.
  9.
  10.
  ......wote ni dhaifu na wamechaguliwa au teuliwa na Rais dhaifu ambaye pia ni Mwenyekiti dhaifu wa chama dhaifu.

  Ikumbukwe Mbunge huyu (Shy-Rose Bhanji) alichagulia katika upande wa CCM lakini haoni haja yoyote ya kutetea pumba na ndio maana ameamua kusema jambo hili ambalo limesababisha baadhi ya wanachama wenzake wa CCM kujiandaa kuandamana kama njia moja ya kupaka chadema tope pamoja na Mbunge Mhe John Mnyika.

  Kwa upande wa chadema kauli kama hizi ni mitaji mikubwa katika siku za usoni hasa katika vuta ni kuvute za Kisiasa.

  Source:http://m.facebook.com/shyrose.bhanji.7
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  hata riziwani ni dhaifu
  Pia msimsahau zamaradi naye ni dhaifu pia
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hoja lege lege!
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  hii nayo siasa
   
 5. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kusamehe wezi waliorudisha fedha za EPA walizokwiba!
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hilo mbona liko wazi jamani tatizo hatupendi kuambiwa ukweli watu wanapenda kusifiwa na kujisifu 2.
   
 7. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Rais wetu ni dhaifu inahuzunisha sana

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 9. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Nashangaa wabunge wanabisha wakati mwenyewe hajabisha! Mbona salva hajakanusha!
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Shy rose bhanji na yeye pia dhaifu.. kumsaliti ja fary ku enjoy tunda na sugu
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Zamaradi amezaa na Ruge na sio Ridhi-One.
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Salva naye ni dhaifu...


  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Alimsaliti jafarai kwasababu jafarai ni DHAIFU na Sugu ni IMARA
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,591
  Likes Received: 4,702
  Trophy Points: 280
  Naona likizo yenu imekwisha mumeshaanza tena kulipua makanisa.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hilo halituhusu tunachojua wote ni DHAIFU
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,727
  Trophy Points: 280
  Leo wamemtoa nje ya bunge kwa kusema rais ni dhaifu, LAKINI SIKU AKIFA (God forbid), HAO UTAWASIKIA NA MASIFA YAO... Alikuwa mchapa kazi na tumempoteza mtu mwenye ujasili wa kusimamia anachokiamini... SIIPENDI KABISA HII KITU
   
 17. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  salma dhaifu.
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kila mtu ana udhaifu!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Hoja ya kitoto kabisa hii...hii inanikumbusha wakati nipo darasa tatu tunga msamiati kutumia neno dhaifu.
   
 20. h

  hans79 JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  So what?
   
Loading...