Nikielekea Shinyanga jana nikakutana na taarifa kwamba Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowasa atakuwa Nzega kesho kuzindua harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la kiinjili la...
Tupo kwenye wiki ya vijana na zimebaki siku chache kilele kifike tarehe 14 Oktoba.
Mnyika ni sauti pekee nyikani kuhusu wiki hiyo, nimemsoma: JOHN MNYIKA: KUELEKEA WIKI YA VIJANA: WAZIRI AELEZE...
Thursday, 11 October 2012 21:51
Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Serikali kuwasimamisha kazi vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa kashfa ya dawa bandia za kufifisha makali ya Ukimwi...
MIKUTANO ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imetikisa Jimbo la Busanda, wilayani Geita, mkoani Geita, baada ya wanachama 18,670 wakiwamo...
KIWANDA cha Tanzania Pharmaceutical Indusrties Ltd (TPI), kimekanusha kuhusika na usambazaji, uzalishaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV's).
Kiwanda hicho...
Ndungu wana Jr. nashangazwa sana na sera ya Chadema na mwendelezo wake hadi sasa wamepoteza mwelekeo. Awali ya yote huwa nawambia Chama hiki kipo after maslahi ya wachache, baada ya kugunduwa Ndg...
Thu Oct 11, 2012 4:32pm GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM Oct 11 (Reuters) - Tanzania's governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) party faces deepening divisions after an internal...
ndugu wanajamvi katika hali inayoashiria chama tawala kuanza kukoswa uvumilivu wa kidemokrasia na kuvumilia mitupo ya CHADEMA hapa rukwa eneo la MAZWI SOKONI vilifanyika vikao vya siri nzito baada...
Na Dina Ismail
MWANARIADHA mahiri wa zamani na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) hivi sasa, Meja mstaafu Filbert Bayi, amefanikiwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa mkutano...
Wadau, habari za uhakika nilizozipata punde tu ni kwamba yule Mgombea uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, kesho anafikishwa Mahakama Kuu. Anashitakiwa na waathirika wa...
Sijawahi kutana naye uso kwa uso japo wote ni wenyeji wa mkoa wa Kigoma. Lakini, nafurahishwa sana na jinsi anavyobeba mawazo ya vijana wengi wa kitanzania ambao wamesahauliwa na serikali yao kwa...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda...
Nani "CCM–B" CHADEMA au CUF?
Juma Duni Haji
Tanzania Daima Jumatano Makala | Oktoba 10, 2012
MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha...
Kutokana na kuishiwa sera na hoja nyakati za kampeni katika vipindi vya chaguzi viongozi kadhaa wa ccm kama nilivyowataja hapo juu wamekua wakiishia kuhutubia matusi kejeli na dharau dhidi ya...
Watanzania tunakoelekea yawezekana hatupajui au tumekuwa kama watu tuliofungwa kitambaa cheusi usoni. Nasema hivyo kutokana na tabia yetu ya kulialia ambayo kamwe imekuwa haiwasilishi uhalisia wa...
M/kiti wa Chama Cha CUF Prof Lipumba amesema akiingia madarakani kuongoza Tanzania atamtumia kamanda Mzee Ndesamburo kuimairisha utalii kwenye nchi yetu, amezungumza hayo wakati akihutubia...
Ninashangazwa sana na Bi. Asharose Migiro kwa kitendo chake cha kukaa kimya hata baada ya tume ya haki ya binadamu kutoa taarifa kuhusu haki za kibinadamu zinazoendelea kuvunjwa na serikali isiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.