Tume kuhamia Zanzibar kukusanya maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume kuhamia Zanzibar kukusanya maoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Oct 12, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [TABLE="width: 491"]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]

  [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]
  Tume inayoratibu mabadiliko ya katiba inatarajia kukutana na wajumbe kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar ili kupokea maoni yao kuhusiana na katiba mpya.

  Tume hiyo katika taarifa yake imedaiwa mwishioni mwa wiki hii
  itakutana na wawakilishi hao

  Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid, ilisema wajumbe hao wote kwa pamoja watakutana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar.

  Baadae tume hizo zitakwenda kukutana na vyama vya siasa, taasisi za kidini, asasi za kiraia ikiwemo na makundi mbalimbali ya kijamii kwa lengo la kupata maoni yao na kuyajumlisha.

  Tayari tume hiyo imeshatembelea mikoa ipatayo 16 na kukutana na wananchi wa makundi mbalimbali kukusanya mabadiliko hayo.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...