Tupia hapa: CEO NA WAKUU WA IDARA ZA UMMA WANAOTAKIWA KUSTAAFU KWA UMRI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupia hapa: CEO NA WAKUU WA IDARA ZA UMMA WANAOTAKIWA KUSTAAFU KWA UMRI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by busar, Oct 10, 2012.

 1. b

  busar JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kumekuwa na tabia ya wakurugenzi, makatibu wakuu na wakuu kadhaa wa idara wanao takiwa kustaafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma, lkn wamelikwepa hilo kwa kunyumbulisha mikataba na hivyo kutuacha vijana wengi wenye sifa bila kazi. Tuwatambue watu hao ili tuweze kumuandia My. Rais Barua ya wazi lkn ushahidi wa kutosha.
  Nimeamua kuweka mada hii hapa Kwani naamini Jukwa letu ni huru na ajira ni jambo muhimu kwa maendeleo ya kisiasa. Naomba MODS msiiondoe hapa ni maada ya kisiasa kabisa Kwani ajira rasmi na zisizo rasmi ndo msingi wa uhuru wetu wa 1961, lkn pia uzee ulopitiliza ni chanzo cha uzembe maoficn.
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  John Tendwa!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hosea Edu wa pale Taasisi ya kukuza UFISADI nchini.
   
 4. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Luanjo (Aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mukama wa magamba!!
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kutupia ndio nn we busar unatuletea swaga za kihuni kunako jukwaa tukuka.! Anyway though tendwa sio mkurugenz ila anavuja sana.! Ajivue gamba
   
Loading...