Hili la rais Kagame mnalionaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la rais Kagame mnalionaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rodrick alexander, Oct 8, 2012.

 1. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Rais Kagame amechukua vijana bright wanaotakiwa kuendelea na elimu ya juu na kuwaombea scholarship na wengine kuwalipia elimu ya juu kwenye vyuo maarufu marekani ili baadae waje kuitumikia nchi yao.

  Kitendo alichofanya rais Kagame pamoja na udikteta wake lakini kitaifanya Rwanda kuwa nchi yenye maendeleo makubwa baada ya miaka 5 kuanzia sasa kwani watakuwa na wataalamu wa kila fani.

  Wakati Rwanda wanafanya hayo sisi tumeendelea kusaini mikataba ya madini na gesi wakati hatujajiandaa kwa kusomesha wataalamu wetu na pia tunasaini mikataba bila kuwa na sera yoyote ya uchimbaji madini na gesi.

  Pia tumeshindwa kusomesha wataalamu wetu na badala yake viongozi wa serikali wametumia nafasi walizonazo kusomesha watoto wao na kuwapa nafasi kwenye nyazifa nzito kama bot,kwenye ubalozi na sehemu nyingine wameshindwa kuimarisha elimu na kugawa keki ya taifa kwa watanzania wote
   
 2. m

  melita calist Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shangaa tuu..mpaka ya firauni utayaona bra...
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,057
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ni kwa sababu wamepata rais mwenye akili ya kufikiria. Ama sisi tumepata..
   
 4. G

  Ginner JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  mimi pekee ndie ntakae kuwa raisi ntakaewaletea mabadiliko ya kweli watanzania
   
 5. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Achana na kagame! mbona sisi vijana wetu ambao ni bright wanapata scholarship UDOM, SUA, UDSM, TEKU, MUM na vyuo vingine vya maana hapa hapa bongo¿¿¿¡¡¿¿?! Inatosha hiyo. Viva JK, Viva magamba!
   
 6. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ;

  Mimi nionavyo kwanza nikupongeze kwa kufuatilia kinachojiri kwa nchi zinazotuzunguka (JIRANI) huo ndio ujirani mwema siku zote..., naomba tu kutofautiana na wewe eneo moja tu kwamba Kagame ni dikiteta, hayo ni mambo ya magazeti hajawahi kuwa dikiteta hata siku moja. Ni mtu anayependa vitu viende kwa kufuata cheria, kanuni na taratibu, amechaguliwa kidemocrasia wakati wote, kuna mahakama na kila akoseaye sheria inachukua mkondo wake, ameweza kufuta adhabu ya kifo, ni nchi peke yake Duniani yenye asilimia kubwa ya wabunge wanawake wengi . hapo udikiteta uko waapi.

  Maendeleo Rwanda juwezi kulinganisha na nchi yoyote Africa hii.....!! ukiondoa South africa na Mauritius nafikiri, usafi, ruhwa zero torelance ngoja niache hapo kwa leo, na sisi tunahitaji kubadilika na kufuata nyayo.
   
 7. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu Rodrick,

  Rwanda kwa sasa ni nchi ambayo baada ya ile vita yao imekuwa ni mahali pa kupendeza sana.

  Ni hivi majuzi tu nilitazama documentary moja kuhusu mji wa Kigali na nikakubali kwamba kweli wenzetu wamepania kusimama againts the odds.

  Tazama idadi yao ya watu na jinsi wanavyoindaa nchi yao kwa taifa la kesho bila kinyongo.

  Lakini kitu nilichokipenda ambacho Kagame amefanya ni kutengeneza Health Care System ambayo inaonekana ni complex lakini kila Mnyarwanda anafaidi humo. Hata mtu wa kipato cha chini ana uhakika wa kulala kwenye kitanda cha wagonjwa hospitalini na sio kulala chini kama pale ward ya Mwaisela.

  Mtu wa kima cha chini kabisa analipa dola 16 kwenye community based health insurance scheme ambayo inajumuisha ada ya uanachama na ada ya kumuona daktari kwenye kituo chochote cha afya.

  Hapa tunazungumzia raisi mwenye muono au "Vision" .
   
 8. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Watanzania bahati nzuri wasomi tayari wapo! Hapa Houston and Dallas pekee kwa mfano kuna Watanzania sio chini ya 60 wanaofanya kazi kwenye kampuni za mafuta kuanzia Acoounting, Engineering, Geology, Computer database. Lakini serikali haiwahi kuweka agenda wanataka tuwaombee misaada tu.
   
 9. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi kuna siku nilisema JK aendelee na mbwembwe zake za majuu kila leo wakati watoto hata pale Bagamoyo hawana hata dawati futilia mbali mwalimu wa maana. Kile alichojikusanyia kwa kuinyanyapaa hii nchi kiasi hiki atajashindwa kukila yeye na wanae kwani hao wahuni na majambazi anaolea kwenye shule za kata watajamnyima usingizi. Time will tell. Bila elimu huna nchi na Rwanda walishaona hili zamani ndiyo maana wanabadilika na kusonga mbele. Sisi acha tukajirushe, tutabembee, tukakokotwe na pesa za walipakodi maskini huku watoto wao wakikosa hata elimu ya msingi. Kukosa kiongozi ni kukosa taifa lenye mwelekeo.
   
 10. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  wakwetu anjua kuburzwa kwenye vitoroli tu
   
 11. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,378
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Dr.,Dhaifu yeye anapanda mifarasi
  na kutumbua mimacho tu huko anako talii!Ma daktari wake,walimu tu ameshindwa kuwatimizia mahitaji sembuse wanafunzi wanaogoma kila siku!
   
 12. o

  obwato JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mada yako nimeipenda ila nimesikitishwa na kitendo cha kumuita Kagame dikteta, siku zote uwa natamani huyu jamaa angekuwa mtanzania, kwa rasilimali tulizonazo tungepaa mno kiuchumi, huyu jamaa huwa arembi kwaenye mambo ya maana,ata ukiwa shemeji yake akikugundua umekwiba lazima akufanye kitu mbaya, nakumbuka askofu Kiraini alisema ili Tanzania iwe nchi ya kujivunia tunahitaji raisi kama mwenye mkono wa chuma kama Kagame. Kwa mtazamo wangu Slaa au Lowassa wanauthubutu wa kutenda bila kuchelewa kama Kagame.
   
 13. chamakh

  chamakh JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  sina tatizo na maelezo yako lakini ningependa nikutaarifu miongoni mwa nchi zenye sera nzuri za afya kwa Afrika Mashariki na kati ni Tanzania, bahati mbaya sera hizi hazijafanyiwa kazi ipasavyo. Mfano wetu bora kabisa ni Community Health Fund (CHF) ambao ni mfuko wa afya ya jamii hasa hasa wilayani na vijijini ambapo sehemu nyingi wanatoza sh 5,000 na zingine sh 10,000 kwa mwaka kwa kaya ya watu 6 ambayo ni very cheap ukilinganisha na hizo dola 16 za kagame na rwanda yake. nina ushahidi wa kina kabisa kwamba zile halmashauri ambako mfuko huu umesimamiwa ipasavyo, wananchi wameweza kupata huduma bora za afya , mfano nenda wilaya za mkoa wa dodoma, nenda igunga, mwanga, handeni etc huku kote CHF imefanya vitu vizuri sana kwenye afya, ila tatizo ni usimamizi mbovu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla wake nchini.

  pia ukumbuke universal health insurance ni jambo gumu sana, kwani hata marekani ni mwaka juzi tu ndio obama ameleta ile bill ya kusaidia masikini kupata unafu wa huduma za afya, so kwa tanzania yetu yenye watu millioni 45 kulinganisha na rwanda yenye watu milioni 9.5 bado si sahihi sana
   
 14. B

  BondJamesBond Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  [h=1]Why CEOs love Rwanda[/h]
  [h=2]As a small African nation recovers from genocide, Google, Starbucks and Costco lend a hand. Fortune's Marc Gunther reports.[/h][​IMG]
  By Marc Gunther, Fortune senior writer
  April 3 2007: 1:57 PM EDT

  NEW YORK (Fortune) -- It's not every day that an African head of state delivers a corporate endorsement at an annual shareholder meeting. But Paul Kagame, the president of Rwanda, did just that last week at Starbucks' meeting in Seattle.


  Starbucks' chief executive, Jim Donald, introduced Kagame, who praised the $8-billion-a-year company. "Starbucks and Rwanda are extended family, very closely linked by the business we do together and the passion we share," Kagame said. His comments delivered welcome relief from the criticism aimed at Starbucks over a recent trademark dispute with Ethiopian coffee growers.


  [TABLE="class: topstoriesTable"]
  [TR="class: headerRow"]
  [TD="class: headerCell"]More from Fortune[/TD]
  [/TR]
  [TR="class: contentRow"]
  [TD] Among financial pros, Romney trounces Obama

  Why a U.S. buyout firm invested in Greece

  Meet one of the guys tugging on the Apple slingshot

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: PermaLinksTable"]
  [TR="class: contentRow"]
  [TD] FORTUNE 500
  Current Issue
  Subscribe to Fortune
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Best known today for the 1994 genocide that killed 800,000 of its people, Rwanda is, thanks to Kagame, quietly building a new reputation in corporate America - as a business-friendly nation that wants to become a model of private sector development in Africa.


  The 49-year-old Kagame, a rail-thin, bespectacled former guerilla fighter who has led Rwanda since 2000, lately has become an unlikely favorite of American CEOs. Last week, he had lunch at Google's campus in Mountain View, Ca., with senior executives including CEO Eric Schmidt; the Internet firm just announced plans to make its free Web-based software available in Rwanda.  Kagame had a lengthy dinner with Jim Sinegal, the CEO of Costco (Charts); the big retailer buys coffee from Rwanda and wants to do more business there. Last week, too, Terracom, Rwanda's leading phone company, hired an American-born CEO as it builds out what it says will be the fastest communications backbone in Africa. Senior executives at the wireless firm Alltel (Charts), the huge engineering and construction company Bechtel and clothing maker Columbia Sportswear (Charts) also have consulted with Rwandan officials.

  An undervalued 'stock'  Why the attention to Rwanda, a land-locked country of about 9 million people about the size of of Maryland? It's no accident. Many of the corporate ties between the U.S. and Rwanda can be traced back to two Chicago-area businessmen: Joe Ritchie, the founder of an investment firm called Fox River Financial Resources, and his partner Dan Cooper. I met Ritchie and Cooper on a trip to Rwanda in 2005 with the evangelical minister and best-selling author Rick Warren.  Ritchie's not your typical midwestern businessman. He ran the world's largest commodities trading firm, broke a transcontinental speed record in his private plane, managed mission control for his friend and fellow adventurer, balloonist Steve Fossett, and, with his brother James, helped finance Afghan rebel fighters when they tried to overthrow the Taliban in the late 1990s. (The Ritchies grew up in Afghanistan, but that's another story.) Several years ago, Ritchie's daughter Maggie volunteered in Rwanda, after which he took a look for himself and came away very impressed.

  Rwanda is known as the "Land of a Thousand Hills" but it was not the lush landscape that appealed to Ritchie. He and Cooper toured the country and met government and business leaders. They decided that Kagame was open, honest, business-savvy and, unlike some African leaders, serious about fighting corruption.


  "We came away saying, this is the most undervalued 'stock' on the continent and maybe in the world," Cooper says. "Here's an African nation that's reaching out, not to governments so much, but to corporate America. They want to work. They want U.S. business to bring innovation to their country."


  Coffee was the obvious place to start. A U.S.-backed program called PEARL (Partnership for Enhancing Agriculture in Rwanda Through Linkages) had been helping Rwanda's coffee growers to organize themselves, invest in new washing stations and dramatically improve the quality of their coffee. PEARL introduced Rwandan coffee growers to U.S. and European buyers of specialty coffee, including Sustainable Harvest Coffee of Portland, Oregon, Intelligentsia Coffee of Chicago and Vermont's Green Mountain Coffee, whose customers include McDonald's. Financed by the U.S. government's Agency for International Development, PEARL is led by agriculture specialists at Michigan State and Texas A & M.

  Starbucks vs. Ethiopia  Dan Clay, director of MSU's Institute of International Agriculture, who has worked in Rwanda since 1979, says the specialty coffee business is growing fast. (In 2006, about a thousand metric tons of fully washed Rwanda coffee was sold into U.S. specialty and gourmet markets at prices averaging $2.00 per pound. Commodity coffee - the kind that Rwanda used to produce - sells for just 60 to 75 cents a pound.)


  "The companies that are buying these top quality coffees are investing a lot in the communities and cooperative," Clay says. "They put a lot of their own time in, and they do some training."


  Ritchie and Cooper have opened up bigger opportunities for the coffee growers by pitching Rwanda to Costco's Sinegal. Costco bought Rwandan coffee for its Kirkland brand, and Sinegal spread the word to Starbucks (Charts). Dub Hay, who is in charge of buying coffee for Starbucks, is encouraging Rwanda growers to ramp up their production: "We're very bullish on Rwanda. They've still got a long way to go, but they're getting there more quickly than any other African country." Hay, Starbucks chairman Howard Schultz and CEO Jim Donald have all visited Rwanda, where they were guests of Kagame.  The Google (Charts) deal came via a different route. Last fall, Francoise Brougher, the global director of strategy and business operations at Google, led a group of Google employees on a three week trip to Africa, stopping in Rwanda, Ghana, Senegal and Nigeria. She had been asked by top Google execs to seek out business opportunities in Africa.

  Why? Because Google is serious about its mission - to organize all the world's information and make it available to everyone. The Rwanda deal will make Google Apps - Web-based applications for e-mail, a calendar, the creation of documents and spreadsheets, messaging and Web page authoring - available to government ministries and three colleges in Rwanda. (The company announced a similar initiative in Kenya.) Each university and ministry will get its own domain names, and all the applications will be available without advertising. This will save the Rwandans the considerable expense of developing their own e-mail systems, maintaining servers, training staff and buying PC-based software.


  To use Google Apps, Rwandans will need computers and broadband connections - but Brougher told me that Google picked Rwanda for its rollout in part because the government is "extremely progressive" when it comes to promoting information technology: "The country has invested in IT infrastructure, the same way governments invest in roads," she says.


  There's lots more in the works. Tom Ritchey, a master designer and welder of mountain bicycles, as well as an accomplished bike racer, has several projects underway in Rwanda. He is developing a racing team and creating an efficient cargo-hauling bike to help coffee growers to market. (Check out his Project Rwanda Web site.) Other U.S. firms are talking about rebuilding railroads and highways. "We're in the deal-making space right now," Cooper says.


  There's no doubt that Rwanda has plenty of work to do. Gross domestic product in 2005 was less than $2 billion, and per capita income, adjusted to take the living costs into account, is about $1,500 a year, according to the U.S. State Department. Amnesty International says human rights groups are prevented from working freely in the country and that activists and journalists face harassment and intimidation.


  But the country, visitors say, is democratic, peaceful and working hard to heal the terrible wounds caused by the genocide. Roughly half of about 80,000 people who were imprisoned, awaiting trial for their role in the genocide, have been released. In recent years, visitors to Rwanda have included former President Clinton, First Lady Laura Bush, Microsoft chairman Bill Gates, former Senate majority leader Bill Frist and (of course) Bono. All expressed a desire to help - perhaps, in part, because the United States did little to prevent the genocide more than a decade ago.

  Google's Brougher told me: "For us, it's very inspiring, knowing the history." Says Dan Cooper: "We think this is an extraordinary place that that deserves our support and we feel lucky to be a part of it."  http://money.cnn.com/2007/03/28/news/companies/pluggedin_Gunther_Rwanda.fortu ne/index.htm
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  watu wanaipenda tanzania kwasababu ya uzezeta wa viongozi wake. ua mtu wanakuundia tume wakati polisi wapo, iba mabilioni watakuhamishi mkoa mwingine, uza ardhi ovyo watakupa promotion nyingine fasta, toroka kazini hata miezi 6 watakuingizia mshahara kama kawaida, pata kazi serikalini halafu ondoka bila kuaga watakulipa mshahara hata miaka miwil, tengeneza barabara chini ya kiwango ndio unapewa ukatibu mkuu wa wizara husika,unataka nini zaidi. KAGAME HUWA HANA UJINGA HUO, HAKUNA DEMOKRASIA ISIYO NA MIPAKA.
   
 16. k

  kajembe JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Du Rwanda wameendelea mara hii kuliko Botswana,Namibia,morocco,Tunisia? Bahati nzuri nazijui vizuri nchi hizo! au ulikua una maana gani? otherwise sipingani na wewe kuhusu uongozi mzuri wa Kagame ni mfano bora kwetu tunaongozwa na viongozi wanaotuibia kila siku usiku na mchana. Kagame namkubali sanaaaaaaaaaaaaaa!
   
 17. N

  Nyauuu Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Watanzania tulio wengi ni wajinga, tunafikiri mambo tunayofanyiwa na serikali ni huruma au ni sadaka, hii ni kwasababu
  wepesi kuridhika na mbaya zaidi waoga! Tukiendelea hiv, serikali itaendelea kua ya familia fulan tuuu, kua na mtajiri wachache na masikini wengi! Hiiii ni hatari kabisa!
   
 18. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Huyu KAGAME anaitengenezea RWANDA vita nyingine ni kweli kapeleka vijana lakini wote ni WATUSI(kabila lake), believe itafika muda WAHUTU watachoka kuvumilia huo upendeleo.
   
 19. m

  malaka JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Akili ndogo hizi!!
   
 20. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  watanzania wengi ni wajinga,mijini na vijijin wanaitaj elimu ya kujitambua,wanapata matatizo miaka 10 sababu ya kupewa kanga,kofia na kupakiwa kwenye malori,huu ujinga usipoondolewa kwenye akili zetu wadanganyika tutaumia sisi,wajukuu na vitukuu,tuamke sasa
   
Loading...