abdulahsaf
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 858
- 130
Kabla hatujafika mbali kukusanya maoni, tunawaomba viongoziwetu wa Smz waleWazalendo wa nchi yao wenyekuipenda nchi yao na kuitetea , watuweke wazi wananchi wa Zanzibar kutokana nautata huu uliojitikeza awamu hii ya pili kuanza ukusanyaji tena maoni.
Wasiwasi wa Wananchiwa Zanzibar nikuwa kuna mchezo mchafu unachezwa na Mh Warioba na inaonekanaanapata sindikizo fulani kutoka kwa vigogo wasio penda mchakato huu kuwa na uwadhi wawananchi kutowa maoni yao katika hatma waitakayo.
Ushahidi upo wa wasiwasi huu kwa Wananchi wa Zanzibar nikuwa tayariwameshagundua kuwa wachangiaji wakujitolea wenyewe niwengi lakini ukiangalia takumu za Fomu(Barua) idadi inaonekana nikubwa . Hii ni ishara moja mbaya iliojitokeza katika awamu hii yapili, kwahio kabla hatujafika mbali nilazima viongozi wetu wa Smz waunde dumeili kuzipitia hizo barua na kuweka utaratibu mzuri wa kuwatowa wananchiwasiwasi kuwa barua ni zakweli na wenye kutuma wapo na sio barua fake za kupangiwana Usalama wa Taifa kimamluki.
Hili linatutia wasiwasi sana wananchi wa Zanzibar kujitokeza katika awamu hii ya pili nakuonekana kuwa kuna mbinu chafu zinataka kutumika ili kulibadilisha muelekeozowezi hili, hivi sasa . Ingawaje tume itatumia kipengele cha kujitetea kuwa kutokuingiliwa na Chama chochote au kundilolote lakini hayo ni maneno tu ya ulahai ,kifupi nikuwa takumuzinaonyesha kuna mchezo mchafu unachezwa, wachangiaji niwengi wenye kujitolea wenyewe kuliko wapelekajibarua lakini tume inatakumu za kuwa wenye kupeleka barua ni wengi.
Hali hii inatutia wasi wasi na kwa vile Viongozi wa Smzwanauwezo katika Baraza letu lawawakilishi kuchaguwa wajumbe nakuzipitia barua hizi kujuwa jee zina wenyewe sio za mamluki usalama wa Taifa.
Wananchi wa Zanzibar wanasema hawako tayari kutokujitokeza na ikiwa swala hili halikutafutiwaufumbuzi na viongozi wetu wa Smz basi tutatia kampeni ya nyumba kwa nyubatuligomee mtu kwa mtu , kulikoni mchezo huu mchafu . Kuendelea na hali hii ndio kujimaliza wenyewewazanzibar kuji (succed) kusudihaitopewa pole nibora kugoma ili kufanywa marekebisho ili kuwa na uwadhi wazowezi hili kuliko kujitokeza kwa wingi Wazanzibar huku tukihashuliwa tu kumbezamiri ni kujiuwa wenyewe kwa kisu chako.
Mungu ibariki Zanzibar na watu wake na uwalani maduwi wazanzibar na mbinu zao chafu.