Tamko la SIKIKA kufuatia taarifa ya Wizara kuhusu ARV bandia

tommey tom

Member
Sep 13, 2011
21
1


Sikika imefurahishwa na taarifa za Wizara ya Afya kuhusu hatua ambazo imechukua hadi sasa kufuatia sakata la dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Hata hivyo taarifa ya wizara iliyotolewa na Waziri wa Afya ndugu Hussein Mwinyi imetuacha na maswali kadhaa kama ifuatavyo;
 

Attachments

  • Press release-Sikika- ARV.pdf
    140.4 KB · Views: 70
Back
Top Bottom