Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mbunge wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano wa Chama cha Mabunge Duniani Mhe. Hamad Rashid Mohamed ameteuliwa na kamati tendaji ya chama cha Mabunge duniani (IPU) kuwa mjumbe wa kamati...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
MWENYE MACHO HAAMBIWI TIZAMA kwanini jeshi la polisi lilikataa kuwa hawahusiki na utekaji wa sheikh faridi wakati waliomteka walijitambulisha ni askar na kumuonesha vitambulisho kabisa suala...
9 Reactions
202 Replies
19K Views
Tuesday, October 23, 2012 *Wajumbe wamwita 'jembe' ukumbini *Acharaza gita na Vijana jazz, ukumbi walipuka kushangilia Nape akicharaza besi na Vijana Jazz wakati wa mkutano huo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF CCM inatisha sana. Mbunge wa Rombo analalamika CCM wamemwaga mamilioni uchaguzi wa udiwani na wananunua shahada. Anaomba makamanda wenye mapenzi mema tuchangie kwa ajili ya wale walioko...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
MBOWE ASEMA UJENGWE MFUMO MPYA KUSAIDIA CCM KUKABIDHI MADARAKA BILA VURUGU SERIKALI imetakiwa kuandaa mfumo wa kikatiba utakaowezesha chama cha upinzani kuongoza iwapo kile kinachotawala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zilizopo ndani ya CCM Arusha zinadai kuwa muda si mrefu CCM ikiongozwa na mwenyekiti wao watatumia mwanya wa kufanya sherehe kwa mji wa Arusha kuwa jiji na kukabiziwa barabara kama njia ya...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Waka sawa muungano wa tanganyika na zanzibar usiwe mali ya chama uwe mali ya nchi na nchi kwa maslahi ya wananchi wa pande zote mbili serekali ya tanganyika tanzania iwache kuingilia bakwata kwa...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Mzee Shelali akipewa bendera ya CHADEMABendera ya CCM ikishushwa nyumbani kwakeWatoto wakiichana bendera ya CCM iliyoshushwaBaada ya kukabidhiwa kadi ya CHADEMA Makamanda jana...
14 Reactions
109 Replies
12K Views
Kuna taarifa tumepata kutoka sehemu mbalimbali hapa Arusha kuna watu wanapita wakishawishi watu wawauzie shahada za kupigia kura najiuliza kama taarifa hizi ni kweli je ni njia mojawapo ya CCM...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kesho makamanda wa CHADEMA tawi la ST,Augustine University Mwanza watakuwa katika kata ya Rwezera mkoani Geita kusaidiana na mkamanda wenyeji wa kule kupiga kampeni za mwishomwisho za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
That's treasonable, Tendwa tells Chadema THE Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, has described last week's move by Chadema to issue an ultimatum to President Jakaya Kikwete as...
0 Reactions
444 Replies
34K Views
Breaking News Uchaguzi wa UVCCM unaoendelea huko Dodoma umetawala vimbwanga watu wanatoa Rushwa kama ni agizo la chama!!Vijana wa vigogo wamemwaga mshiko sana na hawaogopi Takukuru...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Kifaa kimojawapo cha rada inayotumika kuongozea ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) iliyokuwa katika matengenezo baada ya kuharibika, kimepelekwa nchini Afrika Kusini kwa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Kwa aibu ya mwaka kwenye uchaguzi wa ccm juzi, nampa EW 100% dhidi ya SS 1%.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hi wn jf. je kuna ukweli wowote kuwa kwa mujibu wa katiba ya CDM mtu haruhusiwi kugombea zaidi ya mara moja? hili nililipata leo asb kweny daladala. And infact michango ya wanachi kuhusu nxt...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Mkurugenzi mkuu usalama wa taifa, Utangulizi: Mimi kama mwananchi wa nchi yangu ya Tanzania ninayo dhamana na wajibu wa kuilinda nchi yangu na kuishauri kwa nafasi nitakayopata, kwa kuwa sina...
9 Reactions
47 Replies
7K Views
Utoaji mkubwa wa rushwa kwenye uchaguzi wa CCM kuanzia wilayani,mikoani na sasa kwenye ngazi ya taifa hususani kwenye UWT na UVCCM si jambo la kificho na bahati mbaya hakuna wa kudhibiti rushwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia...
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Ndugu zangu, Kuwasha moto ni jambo jepesi sana, lakini, kuuzima moto, yaweza kuwa ni kazi ngumu sana. Ona, moto ulioanza kwenye nyumba moja ya nyasi kijijini, waweza kusambaa haraka na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom