PICHA: Mh Rais Dr. Jakaya Kikwete Katika Kikao Cha Kazi

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

attachment.php
 

Attachments

  • r4.jpg
    r4.jpg
    33 KB · Views: 792

at.jpg



at1.jpg

Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
at2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
at3.jpg


Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma


PICHA NA IKULU
 
kaza buti jk, acha wenye viwanda vya uongo waendelee kuuzalisha.
 
I was just about to ask the same !! Anyway, hivi ndivyo vikao vya kuuza nchi au kupata minutes za kuthibitisha kuwa mtu katoka Oman, kashafungasha vyake na sasa anakuja kusiliba madokumenti tuu.. ! Huyu muzungu ni shahidi kuwa kweli walikaa na kupitisha... :) kweli Tanzania is formed by two kantriz... Indian Oshen na Zimbabwe falls... ha ha ha !!

Kuna Maofisa Waandamizi wa SERIKALI - Wazungu??
 
Hii sio SEMINA ELEKEZI kwa jina jipya la KIKAO KAZI kweli??????

Ina maana hadi leo hawa watendaji waandamizi hawajui majukumu yao mwaka wa saba wa utawala wa JK??????
 
miaka mitatu ya kikwete administration imebaki b4 hajasepa bado semina elekezi hadi leo!
 
Hiki kikao kazi kina tofauti na kile kingine kilichofanyika kwenye ukumbi wa Bank Kuu week kadhaa zilizopita?

Ni vema kwenye hii katiba mpya tutenganishe excutive branch kwa maana ya rais, mawaziri na uongozi wa vyama vya siasa. Muda mwingi sana utakumika kwa mambo ya vyama, mfano ni week ya pili sasa mawaziri wengi wako Dodoma kwa ajili ya chaguzi.

Tukumbuke kabla ya uchaguzi wakubwa hawa wanatumia muda mwingi kufanya camping. Nani anaongoza nchi? Hivi mtu kama Sophia Simba anakumbuka mlango wa ofisi ya wizara yake unafafanaje? Na akifanikiwa kuuona mlango wa ofisi, anakumbuka nini cha kufanya? Kwanza atapata muda maana ana Branch nzima ya wanawake wa CCM kuongoza?

We have to be serious, lazima tubadilishe mfumo mzima wa uongozi.
 
Yeye mwenyewe hajui namna ya utendaji kazi. Je anawafundisha kitu gani hao vilaza wenzake?
 
Vikao,semina elekekezi kila siku ila utendaji hatuuoni zaidi ya kukithiri kwa rushwa,wizi na ufisadi.

Hii awamu bora muda wake uishe.
 
Kuna mahali (caption) wanataja TEKNOHAMA, hapo ujue kuna mtu anauza software!

Atakuwa ni huyo mzungu ana-present!!! Vikao vya Rais, na mawaziri wake kuwe na projector!!!!! Mawaziri wenyewe wa-kina Mulugo? You must be kidding!!!
 
Huyo kwenye picha ya pili hapo siyo Mulugo jamani??? Anaongea lugha gani asije akatuanzishia bifu na nchi nyingine tena hili la Malawi na Zimbabwe linatutosha ngoja tuhangaike nalo kwanza
 
Back
Top Bottom