Mambo haya yafanyike kinyume na hivyoo

abdul 28

JF-Expert Member
May 29, 2012
325
38
Waka sawa muungano wa tanganyika na zanzibar usiwe mali ya chama uwe mali ya nchi na nchi kwa maslahi ya wananchi wa pande zote mbili
serekali ya tanganyika tanzania iwache kuingilia bakwata kwa masalahi yao binafi ya chama tawala
wakristo walipe kodi zote za kuingiza mizigo bandarini kusiwe na msamaha wa kodi kwa dinii
lifutwe fungu la ruzuku kwa dinii na taasisi zote za kidini
tume huru ya uchaguzii
 
Back
Top Bottom