Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tata mura, Oct 24, 2012.

 1. t

  tata mura JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Walitegemea watafanya "manjonjo" yapi, na yeye/wao walifanya manjonjo yapi?
   
 3. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Ukweli hawautaki
   
 4. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Thibitisha mkuu, usituletee hisia zako kudanganya Watanzania.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280


  1. Pilau
  2. hadija Kopa
  3. John komba
  4. Fulana
  5. Khanga
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wapi hapo sasa kwenye majonjo uliyotegemea?
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Eti ameshindwa kufanya manjonjo!


  Manjonjo??? Hebu thibitisha unayoyasema kwa umma!
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwani manjonjo kitandani ndo yanasababisha mimba?
   
 9. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Walifikiri ni uchaguzi wa UWT.
   
 10. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.

  Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kwani kikwete huwa anafanya manjonjo yapi? hivi kwenye siasa kuna manjonjo?.
  Dr. Slaa anafanya kweli hana manjonjo wala kulemba ndo maana alikuacha kwenye mataa. mia
   
 12. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 0
  Wapuuzi wengi hupenda kusifiwa haya kwa wadiostahili,wapuuz huchukia ukweli. Call a spade a spade and not a big spoon. Acheni ujuha, km kiongoz wetu hakuleta hamasa ktk kiwango kilichotarajiwa bac tutafte njia ya kutatua tatzo na sio kutaka kusifiwa mda wote km serikali ya sisiem
   
 13. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,798
  Trophy Points: 280
  hivi wew unajua kuwa SHINYANGA YOTE ipo mikononi mwa CDM? subiri uone matokeo ya uchaguzi.
   
 14. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  eeee, makubwaaa, kwani huwa CDM wanafaya manjonjo gani ambayo huko Shinyanga hawakufanya???? Funguka mkuu!
   
 15. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kimepoteza mvuto!
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chadema hakuna mbwembwe za kijinga kama CCM. CDM ni kazi tuu.
   
 17. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Rushwa, matusi, kejeli, n.k
   
 18. commited

  commited JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  unataka majonjo yapi, kama yale ya lusinde na mkapa, au wakina joti
   
 19. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona watanzania tunakuwa na mioyo ya kupakwa mafuta na viburudisho vya hii dunia na kutufanya tupoteze utu na haki zetu....nilifanikiwa kutembelea shinyanga siku za usoni ukitoka nje kidogo ya mji maisha hayafai..maji 0%,miundombinu 0%.kwa maana hyo ukija na uzi wa kushindwa kuonesha manjonjo kwenye kampeni unaturudisha nyuma ambako siko tunapo focus.
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  CHADEMA ni chama cha siasa, wala si cha manjonjo.
  Kama wewe unataka manjonjo utayapata CCM.
  wana jezi za Yanga, wana bongo fleva, wana TOT, wana waarabu kama Rostam Azizi, wana Wahindi kama Dewji, na mashangangingi kibao, full manjonjo na madoido
   
Loading...