Attn: Mods nawasihi hii nyuzi iacheni kama ilivyo ingawa inafanana na ile mliyoitolea ufafanuzi.
Kuna matukio ya ujambazi ambayo yametokea usiku wa saa 8 kuamkia leo 22/ Oktoba/ 2012. Katika...
Vijana wa Mkutano mkuu wa UVCCM TAIFA sasa wanatafuta sahihi za wajumbe wapatao 350 ili kupinga Matokeo ya kidhalimu yaliyopatikana kwa njia ya Rushwa
Hali ni tete vijana wamekutana Nyerere...
hatimae mbunge wa mbozi magharibi aanza kutekeleza ahadi zake mapema leo ameleta gari la kuchimba visima na mpaka hivi sasa kazi hiyo imeanza rasmi wakazi wa tunduma full shangwe
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha...
MAKUNDI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), yanaonekana kumwelemea Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, na sasa ameamua kutumia mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)...
rushwa na undugunization ndani ya ccm iko wazi kwani tumeshuhudia na kusikia wenyewe kutoka katika chaguzi za ndani za ccm na jumuiya zake.
Ccm kama ilivyo serikali yake imeshindwa kupambana na...
Mbunge wa Nyamagana (Chadema) Ezekiel Wenje ametuhumiwa kushindwa kutimiza ahadi ya kulipia wanafunzi 130 wa sekondari ada.
Wakitoa malalamiko yao wakuu wa shule walisema Mh Wenje aliahidi...
Hawezi kuniingia akilini kwa baba anayeomboleza tabia za watoto wake hali hachukui hatua. Kuanguka kwa Fredrick Sumaye kule Hanang kulinisaidia kujua kuwa kumbe sio tuhuma bali ni ukweli rushwa...
Ile dhana ya kukiita CCM Chama Cha Majambazi inaonekana sasa inataka kuaminika mbele ya jamii hususani chaguzi zao na aina ya viongozi ambao wamechaguliwa kama dira ya ushindi kuelekea uchaguzi...
Kutokana na kampeni kali za kiti cha udiwani kilichopo wazi baada ya diwani DR. Maiseli kufariki , kampeni hizo ni kati ya CHADEMA,CUF, NA CCM. Lakini mchuano mkali ni kati ya mgombea wa CCM ambae...
Nimepitia link hii nikakutana na habari picha zikionesha magari kibao ya Serikali na mashirika ua umma yana tumiwa na CCM kwenye kampeni za udiwani huko Makete. fuata hii link ujionee halafu nipe...
Hapo kwetu tanzania sms za uchochezi sasa zimekuwa kama jambo la kawaida ..na hakuna hatu zozote zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaosambaza sms za uchochezi zinazohatarisha amani na kuongeza...
Nimekuwa nikifuatilia siasa zetu hapa Tz. Kitambo watanzania wengi walihitaji sana mabadiliko na ushahidi tosha ni kura alizo pata Augustine Mrema mwaka 1995 kwa zati kabisa wenzetu wale walihitji...
KLM wanaposema ndege itaruka saa 11:45 basi tegemea saa11:40 ndege itaanza kutembea tayari kuelekea njia ya kurukia. Haya ndio matarajio ya kizazi hiki. Kama kuna hitilafu, tutatangaziwa ndani ya...
1) Ningetumia chaguzi hizi za ndani ya CCM kusafisha wala/watoa rushwa. Viongozi wote wa serikali wanatokana na CCM, nidhamu ya juu ndani ya chama, mkondo ungetiririka kwa urahisi serikalini...
Imeandikwa tarehe 24 Oktoba 2012 na Gloria Tesha | HabariLeo
SERIKALI imesema inatarajia kuunda upya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) ili ijiendeshe yenyewe na kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.