Mwalimu Nyerere alipata kusema kuwa ili tuendelee tunahitaji kuwa na mambo manne:
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa Safi
4. Uongozi Bora
Mpaka sasa nchi yetu bado iko nyuma kimaendeleo. Mimi nafikiri...
Je mna visingizio gani tena safari hii?
Chaguzi zote zilizomalizika na zijazo siyo siri kuwa RUSHWA IMETAWALA NA ITAENDELEA KUTAWALA.
Mnatuambia nini sisi wananchi?
Rais mwenyewe alikemea...
Source BBC
Wageni ni January Makamaba, Heleni Bikijo na Prof kutoka Zanzibar
Makamba anadai toka zamani ametolea mfano wa yeye anavyoishi na mama yake Mkatoliki anashangaa hili linatokea...
Wed Oct 24, 2012 5:52pm GMT
Print | Single Page
[-] Text [+]
ARUSHA, Tanzania Oct 24 (Reuters) - African Eagle Resources Plc said on Wednesday it planned to start construction of a nickel...
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.
Updates 1
Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za...
Halmashauri ya Morogoro vijijini imekuwa haiishiwi vituko, baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimegundua kuwa tatizo lipo kwa madiwani wao.Wamekuwa wakikiuka taratibu za utumishi bila kujali...
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.
Nazani timu ya...
Polisi anaswa akiwania uongozi UVCCM
24 October 2012 | Imeandikwa Lilian Lucas, Morogoro
JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma, linamshikilia askari wake, F 7961 PC Stanley Mdoe wa Kituo cha Polisi...
Send to a friend
Wednesday, 24 October 2012 23:53
Lilian Lucas, Morogoro
JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma, linamshikilia askari wake, F 7961 PC Stanley Mdoe wa Kituo cha Polisi Mvomero kwa...
Kuna mengi yamekuwa yanazungumzwa kuhuu teuzi tata za watendaji wa JK...iwe ndani ya nchi au hata nje ya nchi.....mengi yakisemwa kuwa teuzi hizi huusisha kupeana ulaji etc etc....Mojawapo ya...
Kwa hesima na taadhima nawaomba wanajamvi tusichangie hili bandiko mpaka hapo atakapoanza yeye. Ameniahidi atakuwa hapa muda si mrefu, nawaomba tumpe ushirikiano wa kutosha , tuulize maswali...
UDASA & ITV
Wanawaletea
Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere
Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?
Tarehe: Jumapili 14...
Ninavyoelewa mimi ni kwamba kiongozi wa uvccm anapoingia madarakani asizidi umri wa miaka 30. Kanuni hii ndo iliyomng'oa madarakani Masauni mwaka 2010 akidaiwa alikuwa na umri mkubwa. Juzi uvccm...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho hapa muhimbili, nalitamani na ninatamani sana kuwatumikia wananchi wenzangu wa kahama. Kilichonisukuma sana ni kuona rasilimali nyingi tulizonazo wana wa...
Wakuu nitakuwa nawaletea live kutoka ukumbi wa Nkrumah Udsm proceedings za kongamano la Mwl Nyerere.
Kongamano hili litaonyeshwa live ITV.
Update:
Speech ya Esther Wasira inapatikana HAPA
Kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Msalato, Mkoa wa Dodoma zimezidi kupamba moto, huku Chadema na CCM vikionyesha kuchuana vikali.Hali hiyo imesababisha kuwapo kwa vituko na vitimbwi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa kuonyesha ukomavu wa hali ya juu kimemjibu mkuu wa mkoa Bwana Gamma katika mkutano ambao haujaonekana mkoani Kilimanjaro baada ya uchaguzi mkuu kwa kueleza...
Kwa wanaoamini kwamba TBC ni Televisheni ya watanzania, basi someni hapa muone kuwa kumbe hatuna TV ya Taifa. Baada ya kusoma mie nimegundua kuwa inabidi tuanzishe vita mpya kumbe ya kudai...
JK aliwaomba UVCCM kukataa rushwa na kuikwepa katika uchaguzi wao ili kuinusuru CCM. Lakini hilo lilikuwa ni sawa na kutaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka kwani UWT rushwa tupu. Sasa yametimia kuwa...
SERIKALI imetakiwa kuandaa mfumo wa kikatiba utakaowezesha chama cha upinzani kuongoza iwapo kile kinachotawala kitaondolewa madarakani.Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.