Habari zenu wana jamvi ningependa kujulishwa sera za vyama vitatu chadema, cuf na ccm ili niweze kufanya maamuzi na sio kujiingiza katika ushabiki. Tafadhali nawasilisha.
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho...
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi...
MADAI YA RUSHWA YATAWALA,
MALISA, SHIGELLA, BASHE, NYALANDU WATUHUMIWA,
MAKONDA ATOA KAULI NZITO
MATOKEO ya uchaguzi wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) yametangazwa jana...
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya...
Wanabodi
KATIKA KAMPENI ZA CHADEMA UCHAGUZI MDOGO WA DARAJA 2 LEO ENEO LA KWA KIBOKO MTAA WA JAMUHURI
Kamanda Godbless Lema ameeleza maelfu waliohudhuria kampeni hizo kuwa Chama Cha Mapinduzi...
Kuna kauli zinazozungumzwa kila siku kwamba watu wanatakiwa kutenganisha dini na siasa na ugomvi mkubwa kati ya kikundi cha uamsho na serikali ya mapinduzi ya zanzibar ni suala la kutenganisha...
Wazee maarufu ndani ya Chama cha Mapinduzi, Dr Hassy Kitine,Mzee Ibrahim Kaduma na Mzee Joseph Butiku wametoa ya mwaka walipokuwa wakihojiwa katika luninga Channel 10, jumamosi.
Habari hii...
Fellow forum members, I've happened to be following two murder inquiries conducted in Malawi and South Africa
We all remember what happened to the striking miners at Marikana South Africa. The...
Wakati kampeni zikendelea mjini bagamoyo!kwa kutembelewa na naibu katibu mkuu wa cdm,hali ya mambo ni tofauti kijijini Tano. Pombe, ubwabwa na nyama vilitawala kwenye maeneo karibu na ofisi ya...
Fri Oct 26, 2012 7:58am GMT
* Separatist group calls for independence from Tanzania
* Social, religious issues mirror discontent in Kenya
* Police say funded by Arab countries
* Instability...
Habari ndio hiyo, subiri.....subiri mtaula wa chuya....ohooo!!
Usipomwandaa mgombea wako leo, wenzako watakupiga bao la kisigino.
Wenye nia ya kugombea urais au wale wanaosubiri kuoteshwa...
Katibu wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala...
Mie Mkweche napatashida na kuhuzunishwa na vilio vya Rushwa ndani ya chaguzi za CCM!
Mwenyekiti Waoanalalamika,wazee wao wanalalamika,walioshindwa analalamika sasa jamani hii nchi inakwenda wapi...
MWENYEKITI wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe, amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau, kutokuwa katibu wa kamati ya ukaguzi wa...
Kampeni za uchaguzi wa ugombea udiwani zimezidi kuwasha moto wakati tukielekea siku ya uchaguzi ambayo ni tarehe 28/10/2012 siku ya Jumapili.Halikadhalika kampeni hizo zimeendelea mkoani Shinyanga...
Wote tunashuhudia mambo yote yanayofanywa na Chadema huko kusini(Lindi na Mtwara) kupitia local Television, magazeti na kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli ni kwamba Chadema imepokelewa na...
Wadau,
Leo jioni nimemsikia Mdau Maggid Mjengwa akichangia kwenye mjadala ulioendeshwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu vurugu za kidini zilizoibuka hivi karibuni Dar es Salaam na Zanzibar...
Profesa alexandra songorwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wanyamapori katika wizara ya maliasili na utalii.
Profesa songorwa alikua mkuu wa idara ya usimamizi na uhifadhi wanyamapori(wildlife...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.