PICHA na GUITAR;NAPE AWA KIVUTIO MKUTANO MKUU WA UVCCM,Wajumbe wamwita 'jembe' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA na GUITAR;NAPE AWA KIVUTIO MKUTANO MKUU WA UVCCM,Wajumbe wamwita 'jembe'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 25, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tuesday, October 23, 2012
  *Wajumbe wamwita 'jembe' ukumbini
  *Acharaza gita na Vijana jazz, ukumbi walipuka kushangilia  [​IMG]


  [TABLE="class: tr-caption-container"]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Nape akicharaza besi na Vijana Jazz wakati wa mkutano huo[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  NA MWANDISHI WETU

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, amenogesha Mkutano mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM, UVCCM unaoendea mjini Dodoma.  Licha ya viongozi wengi kushangiliwa wakati wa kuingia ukumbini, nderemo na shamaramshamra zililipuka zaidi kutoka kwa wajumbe wa Mkutano huo wakati Nape alipotangazwa kuwasili.

  "Jembe, jembe, jembe", wajumbe walisikika wakilipuka na kumshangilia baada ya Mkuu wa Umahasishaji na Chipukizi wa UVCCM, Esther Bulaya alipotangaza kuwasili kwa Nape ukumbini.

  Ukumbi ulilipuka zaidi Nape alipopanda jukwaani na kuliungurumisha gita zito la besi, wakati Bendi ya Vijana Jazz ilipokuwa ikitumbuiza wimbo maalum, baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kuwasili ukumbini.

  Viongozi wengine walioonyesha kuwakuna wajumbe wa mkutano huo wa vijana ambao ni wa Uchaguzi Mkuu ni pamoja, na Mbunge wa Bumbuli Januari Makamba, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.

  Baada ya mkutano kufunguliwa na Rais Kikwete, uchaguzi uliendelea ambapo leo, wanatarajiwa kupatika viongozi wapya wa UVCCM ngazi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM na wawakilishi kwenye jumuia zingine.
  POSTED BY BASHIR NKOROMO

   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Useless thread
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwa CCM Sasa Hivi Alama ya JEMBE limebaki kuwa nini??
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  2 U but 2 me I saw it SOMETHING 2 Discuss about... I BELIEVE JAMII FORUMS is a FREE ENTITY PLEASE DON'T BRING your BOSSY ATTITUDE HERE... LET ME LIVE and ENJOY MY FREEDOM of EXPRESSION...
   
 5. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  obvious hao wajumbe hawajui maana ya jembe au kwao ina maana tofauti
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu unapiga zeze Ngoyai apite. Safi sana
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hata Mareheru Brig. Gen. Mosses Nnauye alikuwa mzuri sana katika uhamasishaji na hata kutumia gitaa.
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasikia madiwani wa chadema wamezipanga wao kwa wao chezea mchaga kwa pesa.Tafuta mwananchi ya leo
   
 9. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jembe ni Hoe kwa kiingereza?

  Mara nyingi ina MTI na kisha ule mti unawekwaje kwenye JEMBE?

  Angalieni isije mkawa mnasifia wakati wenzenu walikua wanatukana!

  Waandishi wetu siku hizi hawafikirii kwa undani!
   
 10. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Penguine mimi napiga zeze au Nape?hope umeteleza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mara matokeo mara uchguzi utakamlika. Mbona confusio?
   
 12. M

  Magesi JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama Nape ni Jembe Mnyika ni mpini
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  umenena vyema mkuu,
  watu wengine ni vilaza sana, wanadhani wao ndo wanamiliki jf.
  Hawataki kuona habari wasioipenda.
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Majitaa si unajua yanapigwa watu mkiwa hamna kazi zaidi ya starehe!!?? Inaashiria chama cha starehe ya ruswa na hakuna ufanyaji kazi!! Ningefurahi kama angeingia na hata jembe kuashiria kilimo Kwanza na hiyo SAGGOT yao ambayo iko kimaslahi ya kiuwekezaji zaidi na si kusaidia mtanzania wa kawaida.!! Shame on you!!
   
 15. Kocha

  Kocha JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2008
  Messages: 375
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Dah! Kweli CCM kuna mazuzu na wachumia tumbo lukuki yaani Nape nae ni jembe?
   
 16. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,530
  Trophy Points: 280
  "Jembe halilimi mpaka liwekewe mpini".
   
Loading...