Uchaguzi wa Udiwani Rombo: CCM wamwaga hela kama Njugu, Selasini Aomba Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Udiwani Rombo: CCM wamwaga hela kama Njugu, Selasini Aomba Msaada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Oct 24, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wana JF CCM inatisha sana. Mbunge wa Rombo analalamika CCM wamemwaga mamilioni uchaguzi wa udiwani na wananunua shahada. Anaomba makamanda wenye mapenzi mema tuchangie kwa ajili ya wale walioko field ambao wanapambana. Ujumbe wake huu hapa na pia unapatikana kwenye facebook yake yenye jina Joseph Selasini:

  YANAYOJIRI KWENYE KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA NANJARA REHA.
  CCM wameingiza shilingi 107 millioni ambazo zinatumika kununua shahada za kupigia kura na kuhonga wapiga kura. Takukuru haioni hata pale wanapoonyeshwa!. Tumeamua kuagiza vijana wetu wa Red Brigade kupambana na hao wanaonunua shahada ambapo wengine ni mabalozi,viongozi wa vijiji na Kata. Kazi hii tuliyowapa vijana hawa ni kazi ngumu inayoh... itaji nyenzo kama usafiri na mawasiliano. Tunaomba yeyote aliyeguswa anaweza kutuongezea nguvu ya rasilimali kwa kutuma kwa njia ya M.Pesa namba 0754580201 au TiGO Pesa Namba 0655580201.

  Bado CHADEMA tuna uhakika wa ushindi pamoja na jitihada zinazoendelea.
  Ahsanteni sana!
  Joseph Selasini (Mb- Rombo)
  CHADEMA
   
 2. ntagunga

  ntagunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  sawa kabisa. wahamasisheni wachukue pesa CCM, wapige kura CHADEMA
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani CCM wanaipeleka nchi wapi? Mchango wangu nitatuma leo jioni kwa ajili ya ukombozi. Peopleeeeeeeeeeees Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
   
 4. m

  matasha JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii inatisha sana. Sina pesa ya maana lakini nikituma kidogo na wengine mkiunga mkono, tunaweza kuwasaidia makamanda walioko mstari wa mbele wa mapambano. We cannot allow this country to go to dogs!
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Namba ya Tigo wameipin tayari huwezi tuma pesa! Ni hatari halafu yule mkuu wa Rushwa anasema chama chao kiepuke rushwa.
   
 6. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  yaani inatia hasara sana, mchango ni kesho saa 3 asbh,
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wahamasisheni kuwa kura ni siri!! Wale SSM kura CDM na iwe fundisho kama ilivyokuwa maeneo mengine!! SSM walikuwa wanahonga na kura ilikuwa inapigwa CDM!! Cha wajinga ndicho kiliwacho.
   
 8. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ccm haina sera ya kuuleza umma walichobakiza ni kutoa rushwa
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbona voda inaniambia nimeingiza wrong password kila nikituma...hope wameipini hawa ma.ga.mba....tupieni akaunti namba haraka sana...
   
 10. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  K76PY125 Imethibitishwa Tsh20,000 imetumwa kwa JOSEPH SELASIN Tarehe 24/10/12 saa 6:12 PM Salio lako la M-Pesa ni Tsh19,500
   
 11. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,190
  Likes Received: 2,885
  Trophy Points: 280
  Napanda gar sasa hv, Takukuru wasije wakazima huo mlungula kabla cjapata hapo.
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  nimeshatupia kamanda....ilikubali
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  kama warombo bado wananunulika kirahisi namna hivyo basi hakuna haja ya kuongeza pesa kwani selasini atakua anfanya kilekile ambacho analaani, kugawa pesa

  neno
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh inasokitisha sana aiseeeee, wachukue pesa lakini wasiuzr kadi tuuuuu.
   
 15. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  fedha

  CCM wamewafanya watanzania wawe masikini ili wawatawale kwa fedha za kodi zao, wao wanatoa hela wapi, arusha wameingiza 500 kwa kata ya daraja mbili peke yake! Sisi tutaendelea kujenga hoja za kuitoa CCM na tunamshukuru mungu wananchi wanatuelewa!
   
 16. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeee babaangu hii habari nimeisikia kwenye moja ya clabu ya mbege hapa rombo ila sikuwa na ushaidi wa kutosha wa kuanzisha huzi humu janvini ngoja nitalifatilia kwa karibu
   
 17. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha wanunuliwe mpaka watakapo anza kuchapwa viboko ndipo watajua ccm si chama cha siasa bali ni genge la wahalifu linaloongoza nchi inaitwa Tz.
   
 18. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani Warombo kombeni pesa yote CCM inayowagawia. Hiyo ni kodi yenu ni haki yenu msiiache. Ikifika kwenda kupiga kura basi pigia CDM. Kama chama kinakuhonga maana yake hakistahili kuwa kukuongoza! Acheni upuuzi wa CCM nchi inahitaji mabadiliko tena ya haraka!
  Fanyenyi kile walichokifanya Arumeru Mashariki. Kula CCM piga kura CDM! Mtu anayeuza kura yake kwa sababu ya rushwa ya siku moja ni mjinga na mzuia maendeleo. Wakishaichukua watakusahau na kizazi chako huku wakiendelea kula kodi yako kwa kwenda mbele!
   
 19. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Fedha Haramu hutumika kiharamu pia sina wasiwasi wala shaka hizi fedha inawezekana zinatoka katika
  - Uuzaji wa Madawa ya Kulevya
  - Uuzajia wa wanyama wetu nje
  - Uuzaji wa madini yetu nje na fedha kuingia akaunti za CCM
  - Mikataba mibovu kati ya serikari ya CCM na wawekezaji uchwara
  - Kupitia kupandisha bei za mafuta bila kuendana na soko la dunia
  - Kuomba fedha kwa amri kutoka kwa wafanya biashara wakubwa

  Kwani haiingii akilini utumie Tsh. Ml 100 - 500 eti kwa ajili ya kiti kimoja cha Udiwani huku huduma za kijamii zinadhorota watoto anakaa chini mashuleni.
   
 20. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ccm kama wanaweza kununua uongozi, watashindwa nin? Ccm ni janga!
   
Loading...