CHADEMA Saut ndani ya Rwezera Geita.

jembe la kigoma

Senior Member
Mar 23, 2012
119
19
Wakuu kesho makamanda wa CHADEMA tawi la ST,Augustine University Mwanza watakuwa katika kata ya Rwezera mkoani Geita kusaidiana na mkamanda wenyeji wa kule kupiga kampeni za mwishomwisho za uchaguzi wa UDIWANI,watasaidiana nao kuhamasisha wazee na kinamama na vijana kujitokeza kuipigia kura CDM na pia watazilinda,kata hii CDM tutaichukua take my word.

:israel:

They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown,
 
Tuko pamoja , njooni tuungane kwa pamoja na kwa unyonge wetu ushindi ni wetu kwani Mungu yupo upande wetu. Kamanda Vicent Nyerere pamoja na mbunge kivuli jimbo la geita, kamanda Rogerz watahitimisha kampeini siku ya jumamosi.
 
Natoka leo kifungoni nadhani Ban yangu ilikuwa mbaya kuliko wana JF wote
Mwenzetu jiangalie sana na taarifa hizo unazotoa unasikia watu wanachomwa mikuki wewe unaanika strategy hapa hayo uje uyazungumze baada ya kushinda
 
saut na wahaminia kwa harakati za kukuza demokrasia wapo juu sana tofauti na vyuo vingine
 
pole sana mkuu kwa kutoka kwenye Barn bt hatufanyi mambo kwa siri,hatuogopi wala kutishika,mapambano daima

  • :glasses-nerdy:
 
Natoka leo kifungoni nadhani Ban yangu ilikuwa mbaya kuliko wana JF wote
Mwenzetu jiangalie sana na taarifa hizo unazotoa unasikia watu wanachomwa mikuki wewe unaanika strategy hapa hayo uje uyazungumze baada ya kushinda

Pole sana hata mie nimeachiwa leo. Cha msingi lindeni kura tu.
 
Wakuu kesho makamanda wa CHADEMA tawi la ST,Augustine University Mwanza watakuwa katika kata ya Rwezera mkoani Geita kusaidiana na mkamanda wenyeji wa kule kupiga kampeni za mwishomwisho za uchaguzi wa UDIWANI,watasaidiana nao kuhamasisha wazee na kinamama na vijana kujitokeza kuipigia kura CDM na pia watazilinda,kata hii CDM tutaichukua take my word.

:israel:

They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown,

Kamanda mimi niko huku siku ya pili sasa karibu sana ila angalia sana unapajua vizuri lakini Lwezera ama unapasikia tu?,Rogers ni jemba na tunajua kwamba ndiye Mbunge wa Geita ingawa alichemka kidogo tu ndiyo maana alishindwa kwa sababu alipata kila aina ya kampani kutoka kwa wanaCCM sema tu basi alikuwa bado mchanga kwenye siasa.

Tuko pamoja karibuni sana Lwezera il muwe makini,msije kichwakichwa kwa sababu huku nako si mahali salama sana na hasa ukizingatia kwamba ninyi bado nji Madenti sasa mkichomwa mikuki huku tutawapoteza wakati bado tunawaandaa kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii mwaka 2015.ukifika nitafute.
 
Back
Top Bottom